Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mkuu hiyo V=via vya uzazi au Virus vya ukimwi sijakuelewaNimekujibu..nikasema V
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo V=via vya uzazi au Virus vya ukimwi sijakuelewaNimekujibu..nikasema V
Basi tuseme KMkuu hiyo V=via vya uzazi au Virus vya ukimwi sijakuelewa
AsanteWewe ndio hujielewi kuvamia vitu usivyokuwa na uelewa navyo
Haaa Sawa yaishe ngoja nijiondoe kwenye madaBasi tuseme K
Ndugu yangu virusi wanakuwa named kulingana na magonjwa wanayosababisha Mfano measles virus, MUMPS virus, Ebola virus, HIV, SARS virus nk nk...Wewe ndio hujielewi kuvamia vitu usivyokuwa na uelewa navyo
Huo ni uzushi. Chukua tahadhari daima. Kukoswa na nyoka sio kwamba huyo Nyoka hana sumuHv sisi watu wa blood group O mbna watu wanasema sio rahis sisi kupata HIV
Coz nilipiga mtu pumbu mwenye ngomaa (2011-2014) toka brakeup sasa hadi leo sina ngomaaa
Vp niendelee kupiga mambo au vp tupo ushauri
Shukrani mkuuARV ndio dawa ambazo husaidia kushusha viral load
Hakuna tiba nyingine tofauti na ARV ambayo imegundulika kusaidia kutibu HIV
Nafikiri hujui kitu juu ya HIV. NAFIKIRI. MAANA HUNA UNACHOKIJUA NA KUJIFUNZA HUTAKI. HIVI Mtu asiyetaka kujifunza huitwaje kwa kiswahiliNimeanza kukuona muongo na usiyejua chochote pale ulipomjibu mtu huko mwanzo kwamba eti mwanaume anaambukizwa kupitia njia ya mkojo sasa ingekuwa hivyo si kila mwanaume aliyefanya mapenzi na muhathirika na hajatumia kinga si angetoka hapo ameambukizwa!
Kwanza lazima ujue ili ugonjwa wowote umuambikize mtu lazima apate kiasi cha kutosha kusababisha maambukizi hii kwa kitaalam inaitwa infectious doseNimeanza kukuona muongo na usiyejua chochote pale ulipomjibu mtu huko mwanzo kwamba eti mwanaume anaambukizwa kupitia njia ya mkojo sasa ingekuwa hivyo si kila mwanaume aliyefanya mapenzi na muhathirika na hajatumia kinga si angetoka hapo ameambukizwa!
Huyo hawezi kuwa daktari atakuwa mganga wa kienyeji!Maswali yapo mengi sana ila naomba Nianze na hili
> Unawazungumziaje wale wataalam/madakitri bingwa ambao wanapinga kuhusu HIV na AIDS
Huyo hawezi kuwa daktari atakuwa mganga wa kienyeji!
Hakuna daktari aliyepita medical school anayekataa juu ya VVU na UKIMWI, huyo atakuwa mganga wa kienyeji. Hayupo hapa duniani. Nitafutie paper moja kutoka PubMed au journal yoyote mfano Lancet. Tatizo kila mkiona vitu Google mnaamini. Hamjui wapi pa kupata information kwa usahihiUsibishe mkuu wapo wengi sana tena madaktari wajuvi zaidi ya wewe na scientific paper zao zipo.Ukizihitaji naweza kuweka hapa.
Swali linarudi palepale
Hakuna daktari aliyepita medical school anayekataa juu ya VVU na UKIMWI, huyo atakuwa mganga wa kienyeji. Hayupo hapa duniani. Nitafutie paper moja kutoka PubMed au journal yoyote mfano Lancet. Tatizo kila mkiona vitu Google mnaamini. Hamjui wapi pa kupata information kwa usahihi
Sijajinasibu kama mimi ni daktari. Ninachokueleza ni kwamba hakuna daktari aliyepita medical school anayekataa juu ya VVU na UKIMWI.Elimu ni Bahari waswahili wanasema, haina mipaka kokote inaweza kupatikana endapo ni validity haina tatizo.
Kama unavyojinasabu wewe ni daktari Je haujawahi kuwasikia hawa watu wanapinga hiv/aids.
Ukimwi upo hilo sina shaka nalo, Je unaweza kunielezea huyo virus analeta vipi ukimwi?
Naweka paper soon
Weka mkuu tujisomeeElimu ni Bahari waswahili wanasema, haina mipaka kokote inaweza kupatikana endapo ni validity haina tatizo.
Kama unavyojinasabu wewe ni daktari Je haujawahi kuwasikia hawa watu wanapinga hiv/aids.
Ukimwi upo hilo sina shaka nalo, Je unaweza kunielezea huyo virus analeta vipi ukimwi?
Naweka paper soon
Nasubiri hiyo paper yako!Elimu ni Bahari waswahili wanasema, haina mipaka kokote inaweza kupatikana endapo ni validity haina tatizo.
Kama unavyojinasabu wewe ni daktari Je haujawahi kuwasikia hawa watu wanapinga hiv/aids.
Ukimwi upo hilo sina shaka nalo, Je unaweza kunielezea huyo virus analeta vipi ukimwi?
Naweka paper soon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aweke mjisomeeWeka mkuu tujisomee