VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Kama waathirika wawili waki jamiiana mtoto atakaepatikana atakua muathirika?nakama sio je mtoto akiwatumboni hana connection ya mishipa yeyote ya damu na mama?swali la ziada virus wanaweza kukaa nje ya seli tofauti na blood cells?
 
Maswali yote haya nimeisha yajibu. Mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU toka kwa mama kwa njia tatu tofauti 1.akiwa tumboni 2.wakati wa kujifungua 3.wakati wa kunyonya
 
Maswali yote haya nimeisha yajibu. Mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU toka kwa mama kwa njia tatu tofauti 1.akiwa tumboni 2.wakati wa kujifungua 3.wakati wa kunyonya
Jijapata ufafanuzi wa swali la tatu
 
Hayo ni maelezo ya madhara yanayosababishwa na kirusi kwa kiingereza lakini hujataja jina la kirusi, kumbuka virusi na bakteria wanaosabisha maradhi mbalimbali kwa njia ya maambukizi wana majina yao.
Jina la binadamu kwa kisayansi ni lipi?
 
1.viral load ikiwa ipo juu sana je kuna dawa ya kuwasha?
2. Je! Urine therapy au black seeds zinaweza kutibu h.i.v?
 
Bila shaka umeshindwa kujibu swali langu maana hata hilo swali lako bado linakurudia mwenyewe kwani unafahamu kwamba binadamu wote tunajitambulisha kwa majina katika kutambulishana japo wote ni binadamu.
Naona hujielewi... ngoja niendelee kuelimisha wengine
 
Back
Top Bottom