Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Vinaitwa HIV (human immunodeficiency virus) hawa ni lentivirus wa kundi la retrovirusesLangu hujajibu, nimekuuliza hivyo vijidudu vinavyo sababisha ukimwi vinaitwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinaitwa HIV (human immunodeficiency virus) hawa ni lentivirus wa kundi la retrovirusesLangu hujajibu, nimekuuliza hivyo vijidudu vinavyo sababisha ukimwi vinaitwaje?
Dental dam ndio nn mkuu??nifafanulia zaidi huko chumvin mkuu hapana namanisha denda hii ya mdomoKunakitu inaitwa dental dam husaidia kupunguza kupata maambukizi wakati wa kunyonya K
Dental dam ni vifaa vinauzwa unavaa mdomoniDental dam ndio nn mkuu??nifafanulia zaidi huko chumvin mkuu hapana namanisha denda hii ya mdomo
Mh.Dental dam ni vifaa vinauzwa unavaa mdomoni
Kama waathirika wawili waki jamiiana mtoto atakaepatikana atakua muathirika?nakama sio je mtoto akiwatumboni hana connection ya mishipa yeyote ya damu na mama?swali la ziada virus wanaweza kukaa nje ya seli tofauti na blood cells?Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Maswali yote haya nimeisha yajibu. Mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU toka kwa mama kwa njia tatu tofauti 1.akiwa tumboni 2.wakati wa kujifungua 3.wakati wa kunyonyaKama waathirika wawili waki jamiiana mtoto atakaepatikana atakua muathirika?nakama sio je mtoto akiwatumboni hana connection ya mishipa yeyote ya damu na mama?swali la ziada virus wanaweza kukaa nje ya seli tofauti na blood cells?
Kuna zaidi ya dawa 30 ambazo zimegawanya katika makundi saba kulingana na jinsi zinavyofanya kaziKuna aina ngapi za ARV
Jijapata ufafanuzi wa swali la tatuMaswali yote haya nimeisha yajibu. Mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU toka kwa mama kwa njia tatu tofauti 1.akiwa tumboni 2.wakati wa kujifungua 3.wakati wa kunyonya
Kipi kinafanya ziwe nyingi angali virusi ni vya aina mojaKuna zaidi ya dawa 30 ambazo zimegawanya katika makundi saba kulingana na jinsi zinavyofanya kazi
Swali langu hujajibu mkuuVinaitwa HIV (human immunodeficiency virus) hawa ni lentivirus wa kundi la retroviruses
Swali lipiSwali langu hujajibu mkuu
Jina la binadamu kwa kisayansi ni lipi?Hayo ni maelezo ya madhara yanayosababishwa na kirusi kwa kiingereza lakini hujataja jina la kirusi, kumbuka virusi na bakteria wanaosabisha maradhi mbalimbali kwa njia ya maambukizi wana majina yao.
Dawa hizi zinajaribu kutarget maeneo tofauti ya VVU mfano kudhibiti VVU kujigawanya nkKipi kinafanya ziwe nyingi angali virusi ni vya aina moja
Nini kinafanyika ili kumpa magonjwa aina stahikiDawa hizi zinajaribu kutarget maeneo tofauti ya VVU mfano kudhibiti VVU kujigawanya nk
Swali langu hili hapa.Kwa wanawake je huingilia wapi?
Nimekujibu..nikasema VSwali langu hili hapa.
Naona hujielewi... ngoja niendelee kuelimisha wengineBila shaka umeshindwa kujibu swali langu maana hata hilo swali lako bado linakurudia mwenyewe kwani unafahamu kwamba binadamu wote tunajitambulisha kwa majina katika kutambulishana japo wote ni binadamu.
ARV ndio dawa ambazo husaidia kushusha viral load1.viral load ikiwa ipo juu sana je kuna dawa ya kuwasha?
2. Je! Urine therapy au black seeds zinaweza kutibu h.i.v?