Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mkuu hongera swali nzuri maana nakuwa na wasiwasi nikiwa salonHivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hongera swali nzuri maana nakuwa na wasiwasi nikiwa salonHivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?
Zingatia matumizi sahihi ya kondom kila wakati sawa mkuu sasa vp kuhusu mate mana hii bwna unaweza zingatia matumiz ya kondom lakini denda mkuu denda hapo vp??Dawa zote hutolewa
Ukizitumia kabla zinakusaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi
Hata hivyo kinga ni bora kuliko tiba. Zingatia matumizi ya kondom kila mara
Sio kuwa ajipe moyo!! Hilo lipo na linawezekana kabisa. Mtu aka sex na muathirika wa ukimwi, na wakati huyo muathirika hatumii ARV, na bado asipate hata apime mala mia!! Tunataka maelezo ya kitaalamu na sio mipashoJipe moyo tu
Mkuu wewe ni Mtaalamu wa Afya? sidhani..2.Hauwezi kuwa wa kisaikolojia kwa sababu kuna medical cause ambao ni HIV. MATATIZO YA KISAIKOLOJIA HUWA HAYANA MEDICAL CAUSE
Sijawahi kuacha kujibu maswali
Jamaa umeivaa.
Peke yako mkuuDah, hapa taifa zima tuna dalili za hiv basi.
1.je, unaweza kuambukizwa virus ikiwa mate ya mtu muathirika yatadondoka kwa chakula kiliwacho na asiye muathirika??
.
2. Virus vya ukimwi vinaweza kukaa muda gani hadi kufa kwake ikiwa mtu atajikata kwa kitu chochote kile kitakachopelekea damu hiyo kutoka
.
3.iv virus vya ukimwi vinaweza kuwa hai ktk damu ya hedhi???
Ndio kuna kipimo cha namna hiyo. Kinatumika katika nchi nyingineNimesikia kuna kipimo cha kupima ukimwi kwakutumia mate yaani unakiingiza mdomoni then kinakupa majibu kama unao au hauna
Sihitaji kusoma zaidi. Nina uhakika asilimia mia ya nilichokieleza. Labda jaribu kupitia tena source yakoMkuu mimi sio mtaalamu lakn I read somewhere kuwa hawa retrovirus wanaishi kwenye damu, tena wanadai mate yana alkalinity medium which inhibit retrovirus, hebu jaribu kusoma website ya CDC, lkn hata sperm or vagina fluid hakuna retrovirus wanaishi humo
Vipimo vyote vina sensitivity na specificity ya hali ya juuVipimo tunavyotumia kujipimia huku mtaani ni salama na hakika kiasi gani katika majibu yake?
Manake kuna tetesi kuwa havitoi majibu sahihi na wengine wanasema vinatoa majibu sahihi
Unyanyapaa haukubukaliki katika ulimwengu wa kileo.Acha unyanyapaa wewe.... Hayo mambo yalishapitwa sana na wakati. Acha hiyo tabia. Sio nzuri sana kwa afya. Tupo katika huu uzi kwa ajili ya kijifunza na sio kwa ajili ya kunyanyapaa watu.
Vijidudu vya malaria vinakuwa kwenye glands za mate za mbuKwanini mbu hawezi kueneza VVU pale anapomng'ata mtu mwenye VVU na baadae kwenda kumng'ata mtu asiye na VVU?
Hizi ni myth tu. Hazina ukweli wowote.Ni kweli HIV ni pepo lililotengenezwa na fremanson ??
Rama tuendelee kuelemishana tuKweli mimi ni mpuuzi Sana umeona nilivyozezeta hata password za jf hua nasahau naenda kwa jirani yangu kujikumbusha
Hiyo article imeandikwa ili hata mtoto wa darasa la tatu aelewe
Kuna risk ya kupata maambukiziHivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?