VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukizi
To me this is breaking news.
Naendelea kupata darsa.
 
1.je, unaweza kuambukizwa virus ikiwa mate ya mtu muathirika yatadondoka kwa chakula kiliwacho na asiye muathirika??
.
2. Virus vya ukimwi vinaweza kukaa muda gani hadi kufa kwake ikiwa mtu atajikata kwa kitu chochote kile kitakachopelekea damu hiyo kutoka
.
3.iv virus vya ukimwi vinaweza kuwa hai ktk damu ya hedhi???
 
Nimesikia kuna kipimo cha kupima ukimwi kwakutumia mate yaani unakiingiza mdomoni then kinakupa majibu kama unao au hauna
 
Naomba kufahamishwa kuhusiana na faida za dawa mpya ambayo itaanza kutumika hapa Tanzania kama FDC - First Line Regimen.... TLD ikilinganishwa na hii inayotumika sasa ya TLE.

Asante
Swali lako lipo Deep sana inaelekea una wew ni mmoja wa watu wenye elim kubwa sana kuhusu ukimwi
 
Maziwa ya mama yana virusi vya UKIMWI. Na mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU kwa kunyonya maziwa ya mama. Ndio maana kwa mama ambaye ana uwezo njia nzuri ya kuzuia maambukizi ni kumpa maziwa ya chupa

Mate yana kiasi kidogo cha VVU kuliko majimaji mengine ya mwili
Mkuu mimi sio mtaalamu lakn I read somewhere kuwa hawa retrovirus wanaishi kwenye damu, tena wanadai mate yana alkalinity medium which inhibit retrovirus, hebu jaribu kusoma website ya CDC, lkn hata sperm or vagina fluid hakuna retrovirus wanaishi humo
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Vipimo tunavyotumia kujipimia huku mtaani ni salama na hakika kiasi gani katika majibu yake?
Manake kuna tetesi kuwa havitoi majibu sahihi na wengine wanasema vinatoa majibu sahihi
 
Tena kimbia mbio za mbwa mwizi.... Wala usigeuke nyuma...... Tehe Tehe Tehe.....!!! Mtag na mwenzio huyo ......
Kisha ni tag [emoji23][emoji23][emoji23]naona yeye kishaamsha teyari ila usife moyo hakuna mwenye hii dunia wote tunapita
 
Acha unyanyapaa wewe.... Hayo mambo yaliyopita na wakati. Acha hiyo tabia. Sio nzuri sana kwa afya. Tupo katika huu uzi kwa ajili yan kijifunza na sio kwa ajili ya kunyanyapaa watu.
Mkuu nia yangu nikuchokoze makusudi kabisa ili nione vizuri uko vipi
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Kwanini mbu hawezi kueneza VVU pale anapomng'ata mtu mwenye VVU na baadae kwenda kumng'ata mtu asiye na VVU?
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Hivi kunyoa saloon kunaweza kupata maambukizi ya HIV,yaan Ku share zile mashine za kunyolea ma mtu ambaye ameathirika?
 
Back
Top Bottom