VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inakuwaje unatembea na Muathirika wa HIV na haupati?
Unamaanisha kisex nae,,,,,,,yaah kuna vithibitisho kidgo vya hilo kitokea lkn daah ni kwa asilimia ndogo sana kidgo.

Penis inapoingia kwnye vagina.....haikutani na damu moja kwa moja bali hukutana maji maji ya uke......yale maji maji ya uke ni matokeo ya kumuandaa mwanamke vizur sana katika kiwango kinachohitajika........sasa yale maji maji ya uke ya asili ya mafuta mafuta kdgo ko hupelekea eneo kua laini sana na kuzuia friction.........

Bila kumuandaa mwanamke vizuri na ukawa na pupa kiasi hata mazingira ya mwanamke yasiwe tayar kwa kuipokea penis kama nlivoeleza hapo juu....

Friction kati ya penis na ukuta wa vagina inakua kubwa na kupelea michubuko kwa pande zote mbili (vagina na penis) michubuko hio hupelekea kukutana kwa damu za hao watu wawili.........na kama kuna lolote bs wataambukizana.......na sio damu pekee hata lymph liquid zina carry virus......na ukikutana nayo direct na kupenyeza kwnye blood system yako basi unapata
 
Kuna watoto wanapata maambukizi kutokana na kunyonyesha.
Mtoto anaruhusiwa kunyonya mpaka afikishe miezi sita unasitisha... Logic behind ni kuwa mtoto wa mwezi mpaka miezi 6 anakua na fizi laini hvyo hawezi kumchubua mama wakati ananyonyesha na inashauriwa kutonyonyesha ziwa moja mara kwa mara mwili upate kujitibu na michubuko... Na pia kutosahau kutumia dawa... Kama huwezi yote kamua maziwa mpatie kwenye chupa.
 
Asante mkuu . Sasa kuhusu pep mtu akipewa husemekana inazuia replication ya virus ? (Kama nmekosea naomba unisahihishe)kwahiyo wanaweza kubaki kwa no. Walioingia wakabaki hiyo hiyo ? &
Naomba majibu na hapa tafadhali
 
Sasa mbona sielewa hapi juu imetajwa kuwa fluid zote zina virus kumbe kwa watoto wananyoa inakuwaje hapo? Au
 
Asante mkuu . Sasa kuhusu pep mtu akipewa husemekana inazuia replication ya virus ? (Kama nmekosea naomba unisahihishe)kwahiyo wanaweza kubaki kwa no. Walioingia wakabaki hiyo hiyo ? &
Unapowazuia kureplicate ni kwamba hawaongezeki hivyo kiasi kinachobaki kinga ya mwili inaweza kukimaliza
 
Je mtu mwenye virus vya ukwimi anaweza kubadilisha damu kila baada ya muda na akaishi muda mrefu
 
Sasa mbona sielewa hapi juu imetajwa kuwa fluid zote zina virus kumbe kwa watoto wananyoa inakuwaje hapo? Au
Njia nzuri ya kumsaidia mtoto asipate maambukizi ni mama kutonyonyesha lakini kwa sababu familia nyingi haziwezi kumudu maziwa ya kopo. Mama atashauriwa kunyonyesha mtoto kwa muda wa miezi sita, zamani ilikuwa miezi mitatu
 
Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
[emoji23][emoji23][emoji23]points kuliko zote ulizoandika mkuu...
 
Kipimo cha mate ni yale yale tu wanapima damu si mate... Kama ingekua wanapima mate kwa nini sharti la kipimo kile ni kukiweka kwenye fizi na sio ukitemee mate kitoe majibu? Hakuna VVU kwenye mate wala jasho wala maziwa wala manii
.... Ingekua hivyo tungekufa sana.
Mim nilikua najua hivyo ila nmeingia mtandaon nmesoma source tofauti tofauti ni kweli jamaa wanaish kwenye sperm, V fluids, na mate kiasi kidogo.......

Lakin kuambukiza ni mpaka kwenye delicate thin skin, or inner skinn, or bruises kwa namna nyingine ni kwamba kama ujaathirika Usex na mtu alie athirika ukapata michubuko ata kama yeye ajapata upo kwenye hatari yakupata.........

Cha msingi epusha msuguano kwa ulainishi kuepuka michubuko, na kisha nawa baada ya tendo mkuu au tumia Kinga.
 
Kwa wanaume virusi mara nyingi huingilia kwenye njia ya mkojo...be watchful
 
Eti HIV/AIDS Ni ugonjwa wa kisaikolojia zaidi kuliko mwili!!!?
2)Kuna taarifa zilizo na chembe za uhakika vipimo tupimwavyo vingi iwe mtaani au dispensary Ni vipimo viangaliavyo Kinga ya mwili na si virus Kama tunavyohubiriwa na wanasiasa..
3)Ni kwanini mtu aambiwapo tayari kaathirika anakuwa na maisha mafupi zaidi kuliko asiyeitambua afya yake!!?
4)Nini kinachopatikana ndani yake ktk kidonge Cha ARV mpaka mtu anapoanza kutumia kidonge kile anaumuka kila sehemu ya mwili nakuanza kupata matatizo mbalimbali ktk mwili, plesha, miguu kuanza kufa ganzi mwili kuwa dhaifu japo mtu kavimba Sana, na kuwa na hasira muda wote, na nguvu ya kufanya mapenzi kuongeza, nasema hivyo kwa utafiti wangu watu wote walioanza doz uwezo wao wa kufanya mapenzi uliongezeka..
Ova...
3. Waliotuletea walihubiri sana kuhusu hatari ya huu ugonjwa, kiasi kwamba imeshajengeka akilini ukimwi ni hatari kwahiyo linapokuja swala LA kukutwa nao tayari akili inazunguka na kuwa upo kwenye hatari kubwa sana

Walicheza na mindset zetu hawa wajinga
 
Back
Top Bottom