VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu


Watu wenye group O ndo wengi duniani
Ni almost one third ya dunia(therusi)
Kuhusu kupata HIV haijachagua group
Bali kuna watu ambao cell zao ziko tofauti na binadam wa kawaida, na hii ndo sababu wanyama hawapati, hasa decendants wa Viking people
 
1.Dalili hizi zina ashiria mambo mawili, moja madhara ya virusi kwenye nevu, lakini pili inawezekana akawa na maambukizi ya toxoplasma kwenye ubongo ndio infanya.

2.Virus vina athiri mfumo wa fahamu inawezekana kabisa hicho ndicho kilichotokea

3. Matatizo ya akili ni ya kawaida kwa waathirika. Huyo anaweza kuwa ana major depressive disorder with psychotic symptoms. Awaone Madaktari wa magonjwa ya akili watamuandikia dawa na aendelee kutumia ARV ata improve CD4 nilipanda

4. Septrin zinawasaidia wasipate aina fulani ya homa ya mapafu
 

Kwenye kunyonya ni sio maziwa yana virusi, la hasha
Bali ni kuwa mmama hashauriwi kunyonyesha mtoto mwenye meno kwani anaweza kumng’ata akamuambukiza
Still hii ni rare case
 
 

Na hii inatokana na kuwa kila mtu ana virusi vya mafua mwilin(almost kila mtu)
Sa mtu akipata ukimwi siku za mwanzon ndo ugonjwa wa mafua huwa kitu cha kwanza kuwa triggered kwakuwa upo mwilin

Dalili za mafua ndo hizo ulizo taja
But dalili ambazo ni kubwa ni
1.Sore throat
2. Fever
3Head ache
 
Kwenye kunyonya ni sio maziwa yana virusi, la hasha
Bali ni kuwa mmama hashauriwi kunyonyesha mtoto mwenye meno kwani anaweza kumng’ata akamuambukiza
Still hii ni rare case
Acha uzushi wako...
Nimekuuliza askari polisi huwa wanakaa vituoni tu
 
Huitaji kuwa biased..lete facts tu watu watakuelewa
 

Vvu wanaweza kuwa kwenye mate au wasiwe hii inatokana na patient mwenyewe
Kikiwa kwenye mate ni kimetoka kwenye dam kutokana na mchubuko au vinginevyo na kikiwa kwenye mate hakidumu sana
In about days kitakufa
But hakiwez kutoka kwenye mate kuingia kwenye dam tena otherwise mchubuko uwe mkubwa na saliva movement zisikiaffect
 
Maana yake ni kwamba mmoja wa wanandoa anakuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI na mwingine hana. Kinachosababisha hali hii haikujajulikana vizuri miongoni mwa wataalam wa HIV

Hii ni kutokana na chances za kupata ukimwi ni ndogo kuliko watu wanavyodhani ndo maana wengine wanaweza kuhisi ukimwi hauwapati ila ipo siku yao
 
TLD D kwenye huu mseto wa dawa ni Dolutegravir ni protease inhibitor. Dawa hii imeonekana kuwa ina nguvu kuliko dawa zozote za jamii yake. Ndio maana FDA wameshauri itumike katika line ya kwanza ya matibabu ya HIV

Uko sahihi kabisa chief kwamba Dolutegravir inawezekana ikawa na uwezo mkubwa zaidi wa kufubaisha virusi hata kwa kutumika peke yake (Single Therapy), ama kwa muunganiko wake na Lamivudine, japo mpaka sasa imeonekana kusababisha ART resistance hasa kwa wale waliokua wameanza na dawa nyingine kabla kama TLE.

Na pia nadhani umesahau kidogo kuhusu kundi lake, ni kweli inazuia protein. Protein inayozuiliwa ni ile inayokiwezesha kirusi kujifananisha DNA yake na ile ya mgonjwa kwa kuzuia Intergrase Enzyme, na sio ile inayoizuia DNA ya mgonjwa kuchukua kopi ya DNA ya kirusi kwa kuzuia Protease Enzyme. Kwa lugha rahisi, Dolutegravir ni Intergrase Inhibitor na sio Protease Inhibitor kama ulivyoelezea hapo juu.

Asante kwa shule ya bure.
 
Acha uzushi wako...
Nimekuuliza askari polisi huwa wanakaa vituoni tu

Sio body fluidz zote zenye ukimwi
Mfano ni kwenye uterus ya mmama mjamzito
Najua unajua
Na pia maziwa hayana
Mate ni kutokana na michubuko
Na kuingia kwenye akili ni inatokea2
 
Sio body fluidz zote zenye ukimwi
Mfano ni kwenye uterus ya mmama mjamzito
Najua unajua
Na pia maziwa hayana
Mate ni kutokana na michubuko
Na kuingia kwenye akili ni inatokea2

Ulichochesahau ni kwamba virus wana kaa kwenye seli nyeupe za damu ambazo kazi yake ni ulinzi na ndio maana zinauwezo wakuwepo katika mazingira yoyote ambayo inaweza kuruhusu wadudu kuingia mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…