VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kuna dhana kwamba muathirika akienda kupima huku akiwa na kiasi kikubwa cha pombe mwilini/tungi! Vipimo havisomi sawasawa,Je kuna ukweli wowote na je kuna namna yoyote inayoathiri uonekanaji wa VVU kwa muathirika/figisu/fitina za kuwaficha HIV kwenye vipimo?
 
Virusi navyo vinakuwa vimeenda kufyonza mvinyo (vinapenda sana Balimi nasikia),,,,sasa vikizima huko obvious majibu yatakuwa negative...sasa ngoja vizinduke vikiwa na njaa na mlevi wewe hujavinywesha supu asubuhi...balaah lao lazima ukaadisie.
 
We jamaa mkuda sana wewe🤣🤣🤣🤣
 
Kuna ukweli wowote juu ya hili?
Screenshot_2018-10-15-20-54-12.jpg
 
1)mkuu hizi dawa za (PrePep) kwaajili ya kinga ya HIV kwa sasa zimeshaanza kutolewa hapa bongo?
Na je matumizi yake yakoje ni kwamba mtu atameza kila siku katika maisha yake kama zilivyo arvs za kawaida au anameza tu pale atakapo kuwa anahitaji kukutana na mwenza mwenye HIV +?

2)Naweza kupata maelezo njia za kufata ili kuishi na mwenza mwenye HIV+ na kupata watoto wazima bila yule mwenza mwenye HIV- kupata HIV?
Zinatolewa kitambo sana. Unatumia kwa muda wa mwezi mmoja
Lazima uhakikishe ana tumia ARV, LAZIMA KUTUMIA KONDOM
KUHUSU KUZAA SISHAURI KUKUTANA BILA KUTUMIA KONDOM
 
Kuna dhana kwamba muathirika akienda kupima huku akiwa na kiasi kikubwa cha pombe mwilini/tungi! Vipimo havisomi sawasawa,Je kuna ukweli wowote na je kuna namna yoyote inayoathiri uonekanaji wa VVU kwa muathirika/figisu/fitina za kuwaficha HIV kwenye vipimo?
Hiyo dhana sio kweli
 
Sasa Mimi nimegegeda vyangudoa wengi bila kinga inakuaje hapo
 
Back
Top Bottom