FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Siyo kweli, kwa knowledge niliyonayo kuhusu maswala ya HIV/AIDS na UKIMWI huyu jamaa ni Mtalaamu tena Mbobezi ktk maswala haya. Hakuna chembe ya shaka ata punje tu.Mmh unamuonea!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli, kwa knowledge niliyonayo kuhusu maswala ya HIV/AIDS na UKIMWI huyu jamaa ni Mtalaamu tena Mbobezi ktk maswala haya. Hakuna chembe ya shaka ata punje tu.Mmh unamuonea!!
Nashukru kwa complimentSiyo kweli, kwa knowledge niliyonayo kuhusu maswala ya HIV/AIDS na UKIMWI huyu jamaa ni Mtalaamu tena Mbobezi ktk maswala haya. Hakuna chembe ya shaka ata punje tu.
Kwani amesema tuulize maswali yatakayotubadirisha??Jibu lake litakubadilisha chochote?
Mara ya nwisho kutumia ni 2010..... Apo nlikua na mtoto mzuri wa kichaga alikua anaogopa mimba balaaa japo nilimpenda na nnamajuto juu yake ila tuligombana kisa ndomu..... M siwez ..... Bora nibaki na ugwadu....Kwa hiyo huwa hutumii ndomu
Nilishawahi kuelezea nilivyokwenda kupimaKwani amesema tuulize maswali yatakayotubadirisha??
Yye kasema tuulize swali lolote na mimi nimeuliza.
Tatizo liko wapi mkuu??
Tatizo la ugonjwa huu unakuja siku ambao hukutegemea ni bora kuchukua tahadhari muda woteMara ya nwisho kutumia ni 2010..... Apo nlikua na mtoto mzuri wa kichaga alikua anaogopa mimba balaaa japo nilimpenda na nnamajuto juu yake ila tuligombana kisa ndomu..... M siwez ..... Bora nibaki na ugwadu....
Nmepima last year for the first time, this year pia, and last time was November this yr ila but stil am gud.... Nmepitia mengi mpaka nkaenda pima.... Nimejifunza mengi.....
Mda mwingine unaeza sema huu ugonjwa ni laana tu.
Duh![emoji23] [emoji23]Ni kweli HIV ni pepo lililotengenezwa na fremanson ??
Kwani baada ya miezi 6 mama anaacha kutumia doz?Mama anakuwa bado yupo kwenye dozi
Kuna baadhi ya vitu nmevijua ntavifanyia kazi.,... Ila nmesikitika kuona mbinu zangu zote s mali kitu.Tatizo la ugonjwa huu unakuja siku ambao hukutegemea ni bora kuchukua tahadhari muda wote
Inategemea unaombewa na nani?Nikweli maombezi, (kuombewa) kuna ponya ngoma??
ChanceSio kuwa ajipe moyo!! Hilo lipo na linawezekana kabisa. Mtu aka sex na muathirika wa ukimwi, na wakati huyo muathirika hatumii ARV, na bado asipate hata apime mala mia!! Tunataka maelezo ya kitaalamu na sio mipasho
HahahaKuna baadhi ya vitu nmevijua ntavifanyia kazi.,... Ila nmesikitika kuona mbinu zangu zote s mali kitu.
Jibu nililotoa la kwanza lina uhakika. Sasa hivi mama akianza kutumia dawa haachi tena kama ilivyokuwa zamani.Kwani baada ya miezi 6 mama anaacha kutumia doz?
Ila mtoa mada alitoa jibu lingine akasema mtoto baada ya miezi 6 anakuwa ameanza kula vyakula hivyo kuna chance kubwa ya kupata vidonda mdomoni na kupelekea kuambukizwa.
Lipi ni jibu la uhakika Wataalam? Tunaomna sie tusio wataalamu wa tiba tupatiwe majibu ya uhakika.
Mmh!!Akitumia dawa ambazo zinatibu kama TB n.k bila kutumia ARV, 100% huyo mtu atakuwa HIV NEGATIVE baada ya muda kadhaa.
Virus pia ni wa aina tofauti mkuuKipi kinafanya ziwe nyingi angali virusi ni vya aina moja
Teh[emoji23] [emoji23]Jina la binadamu kwa kisayansi ni lipi?
NiceKwanza lazima ujue ili ugonjwa wowote umuambikize mtu lazima apate kiasi cha kutosha kusababisha maambukizi hii kwa kitaalam inaitwa infectious dose
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo hawezi kuwa daktari atakuwa mganga wa kienyeji!
Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi