VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Pamoja na swali hili? Inasemekana kuwa kuna watu ambao ni waasirika/wana HIV ila ni "passive" (carriers) yaani wao hawana AIDS/UKIMWI lakini wanaweza kuambukiza wengine kama kawaida.

1. Je, uvumi huu ni wa kweli?
2. Je, ni kweli carriers hawa wao huwaga hawapati UKIMWI/AIDS ktk maisha yao yote?. na kwamba huwaga hawapotezi maisha 7bu ya UKIMWI/AIDS?
Nimiesha jibu hili swali. Hakuna carrier katika HIV. NATURAL HISTORY ya HIV iko HIV kuna watu wanaweza Kuugua UKIMWI miaka 18 baada ya kupata maambukizi ya VVU. Hawa ni wachache. Ndio wale unaosikiaga Wameisha kufa wanawake wawili yeye yupo tu. Lakini hakuna carrier
 
Duuh! Kwanza pole sana Mkuu.
Ngoja aje mtaalamu wetu...
papa mobimba!
mwanangu ( miaka2.4) alimgang'ata mjomba wake ambaye ni HIV+ adi kumuachia alama/kidonda mkoni, ebu nipe chance /probability ya mwanangu kuambukizwa HIV, since then sijawahi kuwa na amani moyoni na kumpeleka kupima roho inauma inakataa .......
 
Kipimo cha mate ni yale yale tu wanapima damu si mate... Kama ingekua wanapima mate kwa nini sharti la kipimo kile ni kukiweka kwenye fizi na sio ukitemee mate kitoe majibu? Hakuna VVU kwenye mate wala jasho wala maziwa wala manii
.... Ingekua hivyo tungekufa sana.
Wapo kwenye mate ila ni kwa kiwango kidogo sana negligible
 
Unamaanisha kisex nae,,,,,,,yaah kuna vithibitisho kidgo vya hilo kitokea lkn daah ni kwa asilimia ndogo sana kidgo.

Penis inapoingia kwnye vagina.....haikutani na damu moja kwa moja bali hukutana maji maji ya uke......yale maji maji ya uke ni matokeo ya kumuandaa mwanamke vizur sana katika kiwango kinachohitajika........sasa yale maji maji ya uke ya asili ya mafuta mafuta kdgo ko hupelekea eneo kua laini sana na kuzuia friction.........

Bila kumuandaa mwanamke vizuri na ukawa na pupa kiasi hata mazingira ya mwanamke yasiwe tayar kwa kuipokea penis kama nlivoeleza hapo juu....

Friction kati ya penis na ukuta wa vagina inakua kubwa na kupelea michubuko kwa pande zote mbili (vagina na penis) michubuko hio hupelekea kukutana kwa damu za hao watu wawili.........na kama kuna lolote bs wataambukizana.......na sio damu pekee hata lymph liquid zina carry virus......na ukikutana nayo direct na kupenyeza kwnye blood system yako basi unapata
Nice ans
 
OK ahsante Mkuu
Nimiesha jibu hili swali. Hakuna carrier katika HIV. NATURAL HISTORY ya HIV iko HIV kuna watu wanaweza Kuugua UKIMWI miaka 18 baada ya kupata maambukizi ya VVU. Hawa ni wachache. Ndio wale unaosikiaga Wameisha kufa wanawake wawili yeye yupo tu. Lakini hakuna carrier
 
Back
Top Bottom