clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
PEPHivi ni kweli kwamba "kuna dawa ambayo ukimeza kabla/muda mfupi baada ya kujamiana inazuia maambukizi ya VVU"???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PEPHivi ni kweli kwamba "kuna dawa ambayo ukimeza kabla/muda mfupi baada ya kujamiana inazuia maambukizi ya VVU"???
Hahhahaa, ati niulize chochote kuhusu ukimwiBraza hata mimi siujui
Jibu la kwanza nililokupa sidhani kama ulielewaHahhahaa, ati niulize chochote kuhusu ukimwi
With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?Sio mara zote mtu unapokutana na mtu mwenye maambukizi ya VVU anaweza kupata maambukizi pia. Kuna sababu mbalimbali zinaweza kusababisha mtu kutopata maambukizi, lakini kwa ufupi kabisa inategemea na afya ya huyu mtu kwa ujumla iwapo anaambukizi mengine, lishe yake, magonjwa ya zinaa, na sababu za kigenetiki na pia aina ya sex waliyofanya pamoja na hali ya afya ya mgonjwa iwapo anatumia dawa
Mfano kamaKuna magonjwa mengi hayacross react na HIV.
Plan BNaomba ufafanuzi wa dawa za PMTCT zinavyofanya kazi kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto, Mama anapokuwa Mjamzito. Nini hasa husababisha mtoto kuzaliwa HIV Negative na mama yake akiendelea kuwa HIV Positive??!!
Asante.
Andika tu hiyo pharmacolojia tutajifunza hivo hivoMama yangu nikianza kuandika hapa farmakolojia..Si hapatatosha
All body fluidsBaba hii chai hamna VVU kwenye majimaji mengine zaidi ya damu....
NICE REPLYSio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Kuna watu ambao genetically hawako susceptible na kupata maambukizi ya VVU. Hii ikoje .. iko hivi kuna baadhi ya watu hawana vitu CCRK5 (hizi ni aina ya protein) .sasa kama utarithi allele mbili seli zako za damu zitakosa hizo protein. Hivyo HIV wakiingia kwenye mwili watashindwa kushambulia seli zako.With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?
Risk ya kupata maambukizi ya VVU ipo. Lakini pia inategemea na ngozi yake ya mdomoni ilikuwaje. Pili njia nzuri ya kujua ni kupima. Na ukimpeleka kumpima utamtendea haki. Nenda braza.papa mobimba!
mwanangu ( miaka2.4) alimgang'ata mjomba wake ambaye ni HIV+ adi kumuachia alama/kidonda mkoni, ebu nipe chance /probability ya mwanangu kuambukizwa HIV, since then sijawahi kuwa na amani moyoni na kumpeleka kupima roho inauma inakataa .......
The infected cell Burst and release the new virus that goes to infected new cells and the vicious cycle of infection continue.Lol1.Mkuu inasemekana virus wanaishi ndani ya seli nyeupe tu? Ni kweli?
2.kama ni kweli vp kwenye mate,na fluid zingne ikoje?
3.mtu anayetumia ARV tunaiman anazuia virus wasizaliane na kama wako kwenye cell watabaki humo siyo? Na cell zina mda wake wakuishi ,je cell hiyo inavokufa na wao hufa na cell au ?
kama mjomba anatumia ARV effectively, apo inakuaje mkuu?Risk ya kupata maambukizi ya VVU ipo. Lakini pia inategemea na ngozi yake ya mdomoni ilikuwaje. Pili njia nzuri ya kujua ni kupima. Na ukimpeleka kumpima utamtendea haki. Nenda braza.
Nililisoma vibayaSwali namba 2.haujalielewa lipitie Tena
Kama viral load iko chini risk ya kuambukiza ni ndogokama mjomba anatumia ARV effectively, apo inakuaje mkuu?
HistotechnologistImmunohistochemistry
Pamoja na swali hili? Inasemekana kuwa kuna watu ambao ni waasirika/wana HIV ila ni "passive" (carriers) yaani wao hawana AIDS/UKIMWI lakini wanaweza kuambukiza wengine kama kawaida.With all due respect, naomba ufafanue kidogo kuhusu maambukizi na genetics lakini pia ningependa kufahamu ni kweli kuwa kuna kundi/makundi ya damu hayana receptors za HIV?