Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
[emoji120] One love[emoji106]Sawa sawa mkuu, Karibu tukae hapa tujifunze!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] One love[emoji106]Sawa sawa mkuu, Karibu tukae hapa tujifunze!
Anaitwa.... HIVHuyu kirusi anayesababisha ukimwi anaitwaje?
Hii si kweli.Virusi wa UKIMWI wana uwezo wa moja kwa moja wa kushambulia mfumo wa fahamu hasa ubongo. Hivyo wakati mwingine mtu anaweza kuumwa matatizo ya akili kutokana na virus hawa. Mara nyingi wakianza kutumia dawa na kinga kupanda Ile ugonjwa wa akili unapona
Ata skatai ila kama ukimwi unaambukizwa hivyo nngeshaupata man!..... Niamini nakwambia.Apo utazuia UTI labda
Naona hujui kuwa magonjwa yote husababisha inflammation. Inflammation hutokea mwili unapojaribu kupambana na ugonjwaHii si kweli.
Virusi havishambulii mfumo wa fahamu (cns) virusi husababisha (inflamation) uvimbe mwilini sasa huo uvimbe unaweza kuathri uti wa mgongo ambao ndio mfumo unaounganisha ubongo. Ni uvimbe si mashambulizi mengine. ARV'S zinawafubaza wale wadudu wasiongezeke mwilini hamna uhusiano wa kupanda kichwani.
Kwa hiyo huwa hutumii ndomuAta skatai ila kama ukimwi unaambukizwa hivyo nngeshaupata man!..... Niamini nakwambia.
Sasa longitudinal study unaona causative vs effect... hiyo cause effect unaona kwa kutumia cohort study design...Kaka ARV inaharibu mfumo wa akili (nervous system) ambayo inabeba uti wa mgongo na ubongo. Jaribu kusoma studies / Research mbali mbali zilizofanywa juu ya hilo. ARV zina uwezo wa kupunguza au huharibu uwezo wa mfumo huo. Ukitaka kuamini, mchukue mtoto aliyeupata Ukimwi akiwa mtoto, harafu mfanyie longitudinal study au correlation, uone utakayoyaona .
Hakuna dawa ambao haina side effects haipo hapa duniani. Hata dawa za presha zinaweza kusababisha kisukari. Dawa za sukari zinaweza kusababisha matatizo ya figo, dawa za kansa zinaweza kuleta matatizo ya mapafu na nywele kunyonyoka! Kumbuka dawa is not foodKaka ARV inaharibu mfumo wa akili (nervous system) ambayo inabeba uti wa mgongo na ubongo. Jaribu kusoma studies / Research mbali mbali zilizofanywa juu ya hilo. ARV zina uwezo wa kupunguza au huharibu uwezo wa mfumo huo. Ukitaka kuamini, mchukue mtoto aliyeupata Ukimwi akiwa mtoto, harafu mfanyie longitudinal study au correlation, uone utakayoyaona .
Hakika!!!3D ni teknolojia ya juu sana ktk maswala maswala ya picha na michoro. Kifupi hutoa/huonesha picha/mchoro kwa uharisia wake. Ahsante Mkuu, kifupi wewe ni mbobezi ktk maswala ya HIV/AIDS kama siyo afya kwa ujumla wake.
Kwa mfano niniNina wasiwasi na huyu aliepost,ukiangalia majibu yake ni kama vile hana uelewa wowote kuhusiana na HIV
Mmh unamuonea!!Nina wasiwasi na huyu aliepost,ukiangalia majibu yake ni kama vile hana uelewa wowote kuhusiana na HIV
Nauhakika badae wataamini na kujua kwamba haupo hapa kuuza chai....Kuna watu wanafikiria niko hapa kuuza chai
Huwa hawakosekani watu hivyo..hafu huwa wanawahi kufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh unamuonea!!
Jibu lake litakubadilisha chochote?Je wwe una ukimwi??