VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kwa hiyo huwa hutumii ndomu
Mara ya nwisho kutumia ni 2010..... Apo nlikua na mtoto mzuri wa kichaga alikua anaogopa mimba balaaa japo nilimpenda na nnamajuto juu yake ila tuligombana kisa ndomu..... M siwez ..... Bora nibaki na ugwadu....

Nmepima last year for the first time, this year pia, and last time was November this yr ila but stil am gud.... Nmepitia mengi mpaka nkaenda pima.... Nimejifunza mengi.....

Mda mwingine unaeza sema huu ugonjwa ni laana tu.
 
Tatizo la ugonjwa huu unakuja siku ambao hukutegemea ni bora kuchukua tahadhari muda wote
 
Mama anakuwa bado yupo kwenye dozi
Kwani baada ya miezi 6 mama anaacha kutumia doz?

Ila mtoa mada alitoa jibu lingine akasema mtoto baada ya miezi 6 anakuwa ameanza kula vyakula hivyo kuna chance kubwa ya kupata vidonda mdomoni na kupelekea kuambukizwa.

Lipi ni jibu la uhakika Wataalam? Tunaomba sie tusio wataalamu wa tiba tupatiwe majibu ya uhakika.
 
Kwani baada ya miezi 6 mama anaacha kutumia doz?

Ila mtoa mada alitoa jibu lingine akasema mtoto baada ya miezi 6 anakuwa ameanza kula vyakula hivyo kuna chance kubwa ya kupata vidonda mdomoni na kupelekea kuambukizwa.

Lipi ni jibu la uhakika Wataalam? Tunaomna sie tusio wataalamu wa tiba tupatiwe majibu ya uhakika.
Jibu nililotoa la kwanza lina uhakika. Sasa hivi mama akianza kutumia dawa haachi tena kama ilivyokuwa zamani.
 
Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi

Hao ndio tunaowaitaga ma carrier?
 
Tatizo letu, mtu akileta kitu humu , hudhani yeye ndo anajua kila kitu na wazo lingine asilolitaka/asilolijua siyo sahihi.

Tatizo la pili lililopo, unaonekana una mwonekano wa kuwa deeper na wengine wakisema tofauti wako shallow au hawajui chochote. Ndiyo mfumo wetu wa Elimu ulivyo!

Tuelimishane kwa vidogo tujuavyo

Kila la heri bro !
 
Back
Top Bottom