Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Kuna dhana kwamba muathirika akienda kupima huku akiwa na kiasi kikubwa cha pombe mwilini/tungi! Vipimo havisomi sawasawa,Je kuna ukweli wowote na je kuna namna yoyote inayoathiri uonekanaji wa VVU kwa muathirika/figisu/fitina za kuwaficha HIV kwenye vipimo?