VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inawezekana.

Yeye hana Upungufu wa Kinga ya Mwili (UKIMWI) ila ana Virusi vya Ukimwi.Kinachomfanya yeye asipate ukimwi possibly ni genetic mutation kwenye CCR5 na CXCR4 genes.Hii inapelekea hizi proteins ziwe defective na kushindwa kufacilitate entry ya viral particles kwenye cell

In view of this,huenda huyu mkuu ni non developer hivyo inawezekana kabisa.
Haiwezekani mkuu..
 
[emoji106]
 
Zingatia pia tofauti ya kuwa na UKIMWI na kuwa na virusi vya UKIMWI

Wote tunajua sio kila mwenye virusi vya ukimwi ana ukimwi.
 
Mkuu nadhani unafahamu kwamba HIV haiwezi kusurvive kwenye damu , nje ya cell for more than 6 days
Kama virus hawawezi kuingia kwenye cell sababu ya mutation ya receptor basi watakuwa cleared fasta na mtu hatakaa na maambukizi hata kwa week moja baada ya kuupata..
Hivyo concept zina ya ucarrier inakuwa impossible
 
 
Naje mtu mwenye HIV carrier? Akipima virusi vinaonekana? Nipo serious jamani
Virusi vya maambukizi vinavyoingia kwa mtu (host) huwa ni vichache ila baada ya hapo vinaweza kuingia kwenye kiini cha seli na kuanza kuongezeka haraka (replication).

Kwa mtu ambaye ni carrier yeye anauwezo wa kuzuia virusi visiongezeke mwilini mwake, haivyo akipimwa ataonekana hana kitu, japokuwa anaweza kuambukiza wengine. Kwa maana nyingine hawezi kupata HIV ila anaweza kuambukiza.
 
Hawezi kuambukizwa ila anaweza kuambukiza, anaambukiza nini sasa??? Wakati yeye hawezi kuambukizwa, anapataje i?
 
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?
 
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?

Usitegemee sana vipimo vya mtaani, nenda kwenye hospitali kuu, hata mtu asiyekua carrier lakini anatumia vizuri tiba za ARV anaweza akapimwa na visionekane ilhali vimo.
 
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?
Ndiyo.

Huwa wanapima viral load (kiasi cha virusi kwenye damu) na CD4 (aina ya seli zinazokinga mwili usidhurike). kama kiasi cha CD4 ni kidogo basi viral load ni kubwa na hivyo itaonekana kuwa HIV ipo.

HIV carrier anakuwa na kiasi kidogo sana (almost negligible) cha viral load hivyo akipima anaonekana hana, kumbuka wanachopima ni percentage au probability. Vivyo hivyo kama MK254 alivyodokezea hapo ni kuwa watu wanaotumia ARV huwa wanapunguza viral load na hivyo kuonekana kama hawana.
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Ni jina tu wazungu waliwapa watu walioona hawazinguliwa na hizo hechi eye viiii. Yaani eti Mungu aliwapenda zaidi so hawapati vidudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je akipima VVU vitaonekana?
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Hakuna kitu HIV carrier kaka, Ni kua hiv positive au negative get your facts right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…