VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Inawezekana.

Yeye hana Upungufu wa Kinga ya Mwili (UKIMWI) ila ana Virusi vya Ukimwi.Kinachomfanya yeye asipate ukimwi possibly ni genetic mutation kwenye CCR5 na CXCR4 genes.Hii inapelekea hizi proteins ziwe defective na kushindwa kufacilitate entry ya viral particles kwenye cell

In view of this,huenda huyu mkuu ni non developer hivyo inawezekana kabisa.
Haiwezekani mkuu..
 
Kwanza una maana gani unaposema HIV carrier? HIV carrier ni mtu yoyote mwenye virus vya HIV lakini hajaanza kuumwa! Na unaposema vipimo vya kawaida una maana gani? Ni hivi... mtu mwenye HIV akipimwa kama kipimo kina quality inayotakiwa na mpimaji ana utaalam virus huonekana.
[emoji106]
 
Zingatia pia tofauti ya kuwa na UKIMWI na kuwa na virusi vya UKIMWI

Wote tunajua sio kila mwenye virusi vya ukimwi ana ukimwi.
Ukizaliwa na HIV unakuwa nao hakuna ucarrier wala nini..
Magonjwa mengi ambayo yanakuwa na carriers ni yakurithi kama sickle cell au ugonjwa ambao unaupata lakini wewe sio "definitive host" mfano mbu hawezi pata malaria sababu yeye ni carrier au "intermediate host"..

Lakini kwenye HIV ni either unao au hauna
 
Inawezekana.
Yeye hana Upungufu wa Kinga ya Mwili (UKIMWI) ila ana Virusi vya Ukimwi.Kinachomfanya yeye asipate ukimwi possibly ni genetic mutation kwenye CCR5 na CXCR4 genes.Hii inapelekea hizi proteins ziwe defective na kushindwa kufacilitate entry ya viral particles kwenye cell
In view of this,huenda huyu mkuu ni non developer hivyo inawezekana kabisa.
Mkuu nadhani unafahamu kwamba HIV haiwezi kusurvive kwenye damu , nje ya cell for more than 6 days
Kama virus hawawezi kuingia kwenye cell sababu ya mutation ya receptor basi watakuwa cleared fasta na mtu hatakaa na maambukizi hata kwa week moja baada ya kuupata..
Hivyo concept zina ya ucarrier inakuwa impossible
 
Naomba niende moja kwa moja kwenye topic.
Nilidate na mtu mwezi 3 ..baaada ya hapo nikaambiwa ameasilika japo tulipima tukawa sawa wote.

Siku moja nipo na best yangu akawa ananisomea dalili za HIV ndipo hali yangu ili change nikawa na utandu mdomon kama fungus nikajitibu zikapona, baada ya hapo nikawa si uelewi mwili kama malaria vile ni kaenda kupima nikakutwa na malaria 3 na UTI ....nikatibu tena kwa sindano sasa tokea hapo na chemka mgongoni maeneo ya uti wa mgongo mara maeneo ya shingoni au kiunoni na kichwa kinauma Nikaona isiwe tabu nikapima HIV ....nikatumia HIV test ikaniletea mstari mmoja kwa juu.... Ila dalili ni hizo hizo nika rudia tena kupima mstari ni ule ule.

Nikaamua kwenda kwa doctol ili nipate ushauli labda opration ilinizulu nae akaniambia nipime kisukari.. Ndo nadhidi kuchanganyikiwa kabisa.

Je kuna ali
 
Naje mtu mwenye HIV carrier? Akipima virusi vinaonekana? Nipo serious jamani
Virusi vya maambukizi vinavyoingia kwa mtu (host) huwa ni vichache ila baada ya hapo vinaweza kuingia kwenye kiini cha seli na kuanza kuongezeka haraka (replication).

Kwa mtu ambaye ni carrier yeye anauwezo wa kuzuia virusi visiongezeke mwilini mwake, haivyo akipimwa ataonekana hana kitu, japokuwa anaweza kuambukiza wengine. Kwa maana nyingine hawezi kupata HIV ila anaweza kuambukiza.
 
Hawezi kuambukizwa ila anaweza kuambukiza, anaambukiza nini sasa??? Wakati yeye hawezi kuambukizwa, anapataje i?
 
Virusi vya maambukizi vinavyoingia kwa mtu (host) huwa ni vichache ila baada ya hapo vinaweza kuingia kwenye kiini cha seli na kuanza kuongezeka haraka (replication).

Kwa mtu ambaye ni carrier yeye anauwezo wa kuzuia virusi visiongezeke mwilini mwake, haivyo akipimwa ataonekana hana kitu, japokuwa anaweza kuambukiza wengine. Kwa maana nyingine hawezi kupata HIV ila anaweza kuambukiza.
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?
 
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?

Usitegemee sana vipimo vya mtaani, nenda kwenye hospitali kuu, hata mtu asiyekua carrier lakini anatumia vizuri tiba za ARV anaweza akapimwa na visionekane ilhali vimo.
 
Ina maana hapa HIV carrier anaweza Pima hata ndani ya miaka mitatu anarudia vipimo virusi visionekane?
Ndiyo.

Huwa wanapima viral load (kiasi cha virusi kwenye damu) na CD4 (aina ya seli zinazokinga mwili usidhurike). kama kiasi cha CD4 ni kidogo basi viral load ni kubwa na hivyo itaonekana kuwa HIV ipo.

HIV carrier anakuwa na kiasi kidogo sana (almost negligible) cha viral load hivyo akipima anaonekana hana, kumbuka wanachopima ni percentage au probability. Vivyo hivyo kama MK254 alivyodokezea hapo ni kuwa watu wanaotumia ARV huwa wanapunguza viral load na hivyo kuonekana kama hawana.
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Ni jina tu wazungu waliwapa watu walioona hawazinguliwa na hizo hechi eye viiii. Yaani eti Mungu aliwapenda zaidi so hawapati vidudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana.

Yeye hana Upungufu wa Kinga ya Mwili (UKIMWI) ila ana Virusi vya Ukimwi.Kinachomfanya yeye asipate ukimwi possibly ni genetic mutation kwenye CCR5 na CXCR4 genes.Hii inapelekea hizi proteins ziwe defective na kushindwa kufacilitate entry ya viral particles kwenye cell

In view of this,huenda huyu mkuu ni non developer hivyo inawezekana kabisa.
Je akipima VVU vitaonekana?
 
Jamani wadau naomba kuuliza hiv HIV carrier huwa akipima anaonekana kama ana virusi ktk vipimo hivi vya kawaida
Hakuna kitu HIV carrier kaka, Ni kua hiv positive au negative get your facts right
 
Back
Top Bottom