Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Uwe unataka ama uwe hutaki lakini ni lazima upimwe tu.
Mbona hii sijaiona, bali naona neno 'uhamasishaji' tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe unataka ama uwe hutaki lakini ni lazima upimwe tu.
magonjwa Na mimi wapi Na wapi?hawatatumia njia hiyo unayoifikiria ila siku ukienda hospitali kupima mfano maralia damu yako itapimwa na ngoma kabisa kimya kimya then matokeo yanahifadhiwa na serikali itapata idadi ya wenye ngoma
magonjwa Na mimi wapi Na wapi?
serikali inaajiri pensioners?hahahah we jidanganye tu alafu kuna kazi ukienda kuomba serikalini lazma wakupime kwanza
Wanaweza kukimbiza wananchi nchi jirani hawa, sio watu wazuri!hahaha Tanzania bwana
Muombe uende nae kwenye kitengo siku ya appointment yake. Daktari wake atakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kukupa ushauri na majibu ya maswali yako.
Hakikisha wakati wa tendo anakua wet kiasi kwamba michubuko haitatokea, na inawezekana kabisa akabeba ujauzito mkapata watoto wasiokua waathirika, muhimu nikushauri mkaonane na madaktaru watawaeleza kwa undani kwa uwanja mpana kabisa
yani ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuuwelewa huu ugonjwa,hivi mama amuweke tumboni mtoto miezi 9 alafu mtoto azaliwe bila kuwa na UKIMWIHakikisha wakati wa tendo anakua wet kiasi kwamba michubuko haitatokea, na inawezekana kabisa akabeba ujauzito mkapata watoto wasiokua waathirika, muhimu nikushauri mkaonane na madaktaru watawaeleza kwa undani kwa uwanja mpana kabisa
Mkuu kwanza kuishi naye sio tatizo hadi sasa kwa nilivyoo soma Uzi ila shida inakuja pale kwenye kile kinacho toa maana halisi ya mke na Mme, ila ukumbuke Kuna risk nyingi ukiacha tendo chamsingi hpo wewe usijali sana afya yako Bali Angalia zaidi Usalama Wa mtoto wewe utaweza kutumia KONDOM siku zote maisha yenu.
Aya karibu
Ahsante sana...
Kuna UU sikuhizi google HIV and UU utapata majibuMkuu kwanza kuishi naye sio tatizo hadi sasa kwa nilivyoo soma Uzi ila shida inakuja pale kwenye kile kinacho toa maana halisi ya mke na Mme, ila ukumbuke Kuna risk nyingi ukiacha tendo chamsingi hpo wewe usijali sana afya yako Bali Angalia zaidi Usalama Wa mtoto wewe utaweza kutumia KONDOM siku zote maisha yenu.
yani ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuuwelewa huu ugonjwa,hivi mama amuweke tumboni mtoto miezi 9 alafu mtoto azaliwe bila kuwa na UKIMWI
Amani iwe nanyi ninyi nyote.
Nina mpenzi MUATHIRIKA ambae nimedumu nae takribani miaka miwili sasa... Kiukweli nikiri bila woga kwamba moyo wangu umekwama kwake. Ni binti ambae anajiheshimu sana na anahofu kubwa sana ya MUNGU.
Nilimfahamu kupitia dada yangu, tukazoeana, tukabadilishana mawasiliano na hatimae baada ya miezi mitano tukaingia kwenye mahusiano. Kiukweli kipindi cha Urafiki wetu niliona muunganiko mzuri kati yetu.
Baada ya kuanza mahusiano yetu takribani kama mwezi hivi, alinialika lunch siku moja sehemu fulani tulivu. Nilichukulia kawaida tu kwa sababu sikuwa hata na chembe ya hisia juu ya mualiko ule. Naweza kusema siku ile ni moja kati ya siku ambazo nimewahi kuumia kwa kiasi kikubwa sana katika maisha yangu.
Mpenzi wangu huyu nampongeza kwa ujasiri na kunijali mimi na kujali afya yangu. Siku ile aliniambia kuwa NIMUATHIRIKA WA VIRUSI VYA UKIMWI, na amekuwa akitumia ARV tangu akiwa mdogo akimaanisha kuwa AMEZALIWA NAO. Baba yake alishafariki kutokana na ugonjwa huu lakini pia mama yake ni muathirika pia. Ni binti wa miaka 23 kwa sasa na anaishi na mama yake.
Kiukweli niliumia mno, nilihisi ni balaa au mkosi kwangu hasa kutokana na jinsi nilivyokuwa naiona future ikiwa mbele yetu. Baada kama ya wiki hivi nilipata majibu yakumjibu, baada ya kuomba ushauri pia. Nilikubali kuendelea nae na kuwa nae kwa hali yoyote ile ndio maana mpaka sasa tupo pamoja.
Dhumuni la uzi huu sasa, naomba kupata ushauri wa kidaktari kuhusu jinsi gani ya kujiweka salama wakati wa tendo, na je? vipi kuhusu mtoto ikitokea amebeba ujauzito itakuwaje? Utaratibu gani nifuate ili mimi na mtoto tuwe salama.
AHSANTENI NA KARIBUNI MNISHAURI KATIKA HILI!
NOTE; Hatujawahi kusex na yeye toka azaliwe hajawahi kabisa maana kila aliyempata alimkimbia. Tuko kwenye process za kuishi pamoja kama MKE na MME.
Ndio inawezekana azaliwe bila virus vya Ukimwi, na ikishagundulika maa ana tatizo hilo nahisi wana sehem yao husika na akishafikia muda wa kujifungua hujifungua kwa uangalizi mkubwa kumuepushia mtoto kupata maambukiziyani ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuuwelewa huu ugonjwa,hivi mama amuweke tumboni mtoto miezi 9 alafu mtoto azaliwe bila kuwa na UKIMWI