VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Nimejaribu kutafuta majibu google sielewi elewi naomba wataalamu mnifahamishe.Tokea mtu aambukizwe HIV je virusi vinaweza kugundulika baada ya mda gani?Je wiki mbili zinaweza kuwa sufficient?
Inaweza kuwa Musa na Firauni
 
SD Bioline inadetect VVU baada ya wiki mbili tangu upate maambukizi. Ndio sababu unapoenda kupima unaambiwa urudie tena kupima baada ya mwezi mmoja.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Chief nimetoka kupitia literatures...
Kile kipimo cha mistari (rapid test) hadi uwe na atleast week nne tangu umeukwaa ndio kinaonesha..

But hiki cha PCR unahitaji masaa 48 hadi 72 tu baada ya kuukwaa ndio kinaonesha....
 
Hujakaa Sawa kiafya unaona nini cha tofauti mwilini mwako
Kuna mabadiliko niliyaona siku kama mbili baada ya tukio.Mfano kuchoka,misuli ya shingo kukaza na maumivu pia,kichefuchefu na kichwa kuuma.Mwanzoni nilidhani ni stress lakini nilijitahidi kutuliza akili off course nilikaa sawa nikapona.

Lakini naona now kuna maumivu siyaelewi kwa sababu sijawahi kuyapata hata kuyaelezea nashindwa.Yaani nasikia maumivu yanapita sehemu mbalimbali za mwili kwa sekunde chache then yanapotea.
 
Mkuu kwa kutumia hivyo vya mistali miwili utasubiri hata miezi mitatu...
Lkn kama unahisi umejiambukiza ndani ya masaa 72 unaweza kupima now ukikutwa negative unaanza dawa zinaitwa pep ambazo basically ni ARV lkn zinasaidia usipate maambukizi
Negative au Positive....???? Ndiyo unatumia Dawna.....!!!
 
Chief nimetoka kupitia literatures...
Kile kipimo cha mistari (rapid test) hadi uwe na atleast week nne tangu umeukwaa ndio kinaonesha..

But hiki cha PCR unahitaji masaa 48 hadi 72 tu baada ya kuukwaa ndio kinaonesha....
Thanks chief
 
Nimejaribu kutafuta majibu google sielewi elewi naomba wataalamu mnifahamishe.Tokea mtu aambukizwe HIV je virusi vinaweza kugundulika baada ya mda gani?Je wiki mbili zinaweza kuwa sufficient?
wewe unamda gani tangu umefanya zinaa na huyo unayemuhisi ana HIV??

tuanzie hapo kwanza.
 
Yaa ndio bioline zenyewe izoo,, kuwa mvumilivu bt usiwaze Mungu you pamoja nawe though siijui story yako
Sivijui vipimo but nadhani ni hivi hivi ambavyo huwa vinaonyesha mistari miwili kama umeungua.

Kama hizo ndio bioline does that mean a season of waiting continues.
 
Itakuwa kisaikolojia hujakaa sawa. Ile hofu uliyonayo ndiyo inakufanya uone afya yako haijakaa sawa. Kwa sababu hata kama ungekuwa umeukwaa hauwezi kuathirika with in a short period of time.
 
Kuna mabadiliko niliyaona siku kama mbili baada ya tukio.Mfano kuchoka,misuli ya shingo kukaza na maumivu pia,kichefuchefu na kichwa kuuma.Mwanzoni nilidhani ni stress lakini nilijitahidi kutuliza akili off course nilikaa sawa nikapona.

Lakini naona now kuna maumivu siyaelewi kwa sababu sijawahi kuyapata hata kuyaelezea nashindwa.Yaani nasikia maumivu yanapita sehemu mbalimbali za mwili kwa sekunde chache then yanapotea.
Pole Mungu yu pamoja nawe, tuamini kila kitu kitakuwa sawa
 
Back
Top Bottom