Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kuna kipimo wanapima antigen kinaitwa PCR au DBS hiki kinadetect fasta zaidi lakini ni expensive kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kuna kipimo wanapima antigen kinaitwa PCR au DBS hiki kinadetect fasta zaidi lakini ni expensive kidogo
Inaweza kuwa Musa na FirauniNimejaribu kutafuta majibu google sielewi elewi naomba wataalamu mnifahamishe.Tokea mtu aambukizwe HIV je virusi vinaweza kugundulika baada ya mda gani?Je wiki mbili zinaweza kuwa sufficient?
Hujakaa Sawa kiafya unaona nini cha tofauti mwilini mwakoMipira nilitumia but Kuna njia inatisha toka nimeipita sijakaa sawa kabisa kiafya.
HahahahInaweza kuwa Musa na Firauni
Chief nimetoka kupitia literatures...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mipira nilitumia but Kuna njia inatisha toka nimeipita sijakaa sawa kabisa kiafya.
Kuna mabadiliko niliyaona siku kama mbili baada ya tukio.Mfano kuchoka,misuli ya shingo kukaza na maumivu pia,kichefuchefu na kichwa kuuma.Mwanzoni nilidhani ni stress lakini nilijitahidi kutuliza akili off course nilikaa sawa nikapona.Hujakaa Sawa kiafya unaona nini cha tofauti mwilini mwako
Negative au Positive....???? Ndiyo unatumia Dawna.....!!!Mkuu kwa kutumia hivyo vya mistali miwili utasubiri hata miezi mitatu...
Lkn kama unahisi umejiambukiza ndani ya masaa 72 unaweza kupima now ukikutwa negative unaanza dawa zinaitwa pep ambazo basically ni ARV lkn zinasaidia usipate maambukizi
Thanks chiefChief nimetoka kupitia literatures...
Kile kipimo cha mistari (rapid test) hadi uwe na atleast week nne tangu umeukwaa ndio kinaonesha..
But hiki cha PCR unahitaji masaa 48 hadi 72 tu baada ya kuukwaa ndio kinaonesha....
Kwenye thread title marekebisho sio '
"Musa" ni "Muda"
wewe unamda gani tangu umefanya zinaa na huyo unayemuhisi ana HIV??Nimejaribu kutafuta majibu google sielewi elewi naomba wataalamu mnifahamishe.Tokea mtu aambukizwe HIV je virusi vinaweza kugundulika baada ya mda gani?Je wiki mbili zinaweza kuwa sufficient?
Zimepita wiki mbili na siku Kama tatu kiongoziwewe unamda gani tangu umefanya zinaa na huyo unayemuhisi ana HIV??
tuanzie hapo kwanza.
Sivijui vipimo but nadhani ni hivi hivi ambavyo huwa vinaonyesha mistari miwili kama umeungua.
Kama hizo ndio bioline does that mean a season of waiting continues.
mkuu next time uchukue hatua within 72 hours upate PEP.Zimepita wiki mbili na siku Kama tatu kiongozi
Pole Mungu yu pamoja nawe, tuamini kila kitu kitakuwa sawaKuna mabadiliko niliyaona siku kama mbili baada ya tukio.Mfano kuchoka,misuli ya shingo kukaza na maumivu pia,kichefuchefu na kichwa kuuma.Mwanzoni nilidhani ni stress lakini nilijitahidi kutuliza akili off course nilikaa sawa nikapona.
Lakini naona now kuna maumivu siyaelewi kwa sababu sijawahi kuyapata hata kuyaelezea nashindwa.Yaani nasikia maumivu yanapita sehemu mbalimbali za mwili kwa sekunde chache then yanapotea.