VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600 (mpya)

VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600 (mpya)

Unatakiwa ujue kwanza alivyosema MRI-1 anamaanisha nini, sio kwamba MRI-1 ni aina ya gari anamaanisha mashine ile inayotumika hospitalini inaitwa Magnetic resonance imaging.

Mtoa mada aweke sawa kuna watu watachangia bila kuelewa
Mkui,huyo pimbi aliwahi kujibu akidhani yupo sahihi
 
Hauko serious mkuu,kwahiyo hizo gari ndio zikafanye kazi ya kuwahudumia wananchi wa vijijni,unazijua vizuri barabara za vijijini lakini...?
Hizo gari hutoa huduma ipi mkuu?
 
Nchi hii haina kipaumbele,haina short goals wala long goals,dira ya Taifa ni ipi?Mkakati wa kuitoa nchi hapa kuipeleka pale kiuchumi upo?unafanyiwa kazi?Mipango ya kuiendeleza nchi inaamuliwa na chama au na serikali au utashi tu wa Raisi wa muda huo?Suala la dira ya Maendeleo lazima liwe la nchi bila kujali nani atakuwa kwenye kiti kwa wakati huo,Tusiwe tu kama mnyama anayetembea hana uelekeo maalumu,akihis harufu mashariki anakwenda,akisikia inatokea kusini anakwenda.Vipaumbele vyetu vijulikanike,Afya ya wananchi ni muhimu sana,serikali masikini inanunua vyombo vya usafir vya bei ghali,gari za wakuu ni za gharama mno kuanzia manunuzi,uendeshaji na urekebishaji.Hospitalini tunategemea wahisani.maisha ya wananchi wa kawaida ni muhimu,Afya na shule vipo hoi sana.Ni hatari kwa ustawi wa Taifa hili.
 
POST hii huku si kwake Moderators mmeshindwa kusoma na kuuelewa kuwa unahusu siasa! Poor JF of GT hii ni aibu kwenu.
 
Unatakiwa ujue kwanza alivyosema MRI-1 anamaanisha nini, sio kwamba MRI-1 ni aina ya gari anamaanisha mashine ile inayotumika hospitalini inaitwa Magnetic resonance imaging.

Mtoa mada aweke sawa kuna watu watachangia bila kuelewa
Hiyo imeingia kwa bahati mbaya nimemuelewa huko kwenye siasa zaidi si biashara ya kuuziana magari.
 
Unatakiwa ujue kwanza alivyosema MRI-1 anamaanisha nini, sio kwamba MRI-1 ni aina ya gari anamaanisha mashine ile inayotumika hospitalini inaitwa Magnetic resonance imaging.

Mtoa mada aweke sawa kuna watu watachangia bila kuelewa
MRI-1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe walimu wanapataga tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma uelewe, hili ni jukwaa la siasa unataka apeleke wapi? Wanasiasa viongozi wanatakiwa wasiwe mbali kimaisha na wananchi wao.
We ndio msemaji wake?

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Soma uelewe, hili ni jukwaa la siasa unataka apeleke wapi? Wanasiasa viongozi wanatakiwa wasiwe mbali kimaisha na wananchi wao.
Acha kuwa na kidomo domo mtoto wa kike. Au wewe ndie msemaji wake?
Screenshot_20200220-141228.jpeg

Then alokwambia iko jukwaa husika nani? Tuliza kipago!

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Back
Top Bottom