VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600 (mpya)

VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600 (mpya)

Ukisha nitukana mak......io yako yanapiga vigelegele, matusi si ujanja.
Samahani sana ndugu, ila natoa angalizo, siku nyingine hakiki uone anachokiongelea mwenzio sio unaquote bila kuwa na uhakika mada ipo jukwaa lipi. Usikurupuke

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Ukisha nitukana mak......io yako yanapiga vigelegele, matusi si ujanja.
Hii mada haiko jukwaa la siasa na mwanzoni ilikuwa jukwaa la matangazo madogo madogo, hivi sasa ipo habari na hoja mchanganyiko.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Hii mada haiko jukwaa la siasa na mwanzoni ilikuwa jukwaa la matangazo madogo madogo, hivi sasa ipo habari na hoja mchanganyiko.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
Mada inahusu ubadhirifu wanajifanya viongozi kwa kujipendelea wao binafsi kwa kununua magari ya bei kali huku wakiacha kununua vifaa vya tiba na vinginevyo, mleta Post amefananisha bei na idadi kusisitiza hoja yake.
Ninasisitiza Post hii huku si kwake ni ya Siasa zaidi.
 
Wakifariki majeneza na makaburi yao pia yanakuwa ya vx-v8 ? Naomba unijuze.

Kabla hujajiuliza hilo swali, hakikisha unaishi Maisha ndugu. Kwa sababu hata nikifa na kutupwa mtoni nikawa chakula cha samaki haitoondoa uhalisia kama nimekufa. Kwa wale believers wenzangu huwa nawaambia, Muda huu tunasubiri Yesu aje achukue kanisa lake hatuna budi kuishi kwa sababu mbinguni hamna hizo V8.

Kwa mimi binafsi, nitazikwaje, hilo ni non of my business. Live Your Life Before You Die.
 
Mada inahusu ubadhirifu wanajifanya viongozi kwa kujipendelea wao binafsi kwa kununua magari ya bei kali huku wakiacha kununua vifaa vya tiba na vinginevyo, mleta Post amefananisha bei na idadi kusisitiza hoja yake.
Ninasisitiza Post hii huku si kwake ni ya Siasa zaidi.
Ulinielewa nilichoongea mwanzo? Mada inatakiwa iende jukwaa la siasa. Hivyo uliquote bila kuelewa nilichomaanisha.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Mada inahusu ubadhirifu wanajifanya viongozi kwa kujipendelea wao binafsi kwa kununua magari ya bei kali huku wakiacha kununua vifaa vya tiba na vinginevyo, mleta Post amefananisha bei na idadi kusisitiza hoja yake.
Ninasisitiza Post hii huku si kwake ni ya Siasa zaidi.
Screenshot_20200221-133127.jpeg

Nilimaanisha uzi uende jukwaa husika jukwaa la siasa.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
VX-V8 (Toyota) milioni 250 mpya, MRI 1 Milioni 600(mpya). Ila VX - V8 ziko kama 300 ila MRI machine hazifiki 20 nchi nzima.

Tambua hizi zinatumiwa na Viongozi wote wakuu wa nchi hii, kuanzia Baraza la Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakurugenzi wa Wizara zote za Serikali, Wakuu wa Mashirika ya Umma, Taasisi za Serikali, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya, Majaji etc

Niko na beberu mmoja ananiambia tuna akili. Nimemuambia niongezee K-Vant kubwa nimpe majibu
Kila v8 moja ni sawa na chuo cha ufundi kimoja au sawa na secondary mbili za kisasa kama utashirikisha nguvu ya umma kwenye ujenzi.Halafu zote zinashinda mijini kwenye lami.Aliyemroga mwafrika alikufa
 
Hiyo bei ya MRI ni kwa used au mpya? Sidhani kama MRI mpya ina bei ndogo hivyo, unless ni brands ndogo.
Nilitaka nimwambie hivyo hiyo machine ipo kwenye billion. Hiyo ina bei zaidi ya CT scan. Mpya hii machine inafika 3 million dollars
 
Back
Top Bottom