Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Aisee we Khantwe si kwa kunisema huko😂
Haya bhana mi last born niacheni na mikaranga yangu na huwenda mnazani karanga zinazowekwa ni nzima nzima kumbe ni karanga za kusigina! Watu wa kusini bhana ushamba mwingii😂

Hivi mnaotukana kabechi mgagani mnauonaje sasa??
Ukisema Kuna vyakula huli halafu ukasema mgagani walau nitakuelewa upo serious!.
 
jamanii jamani, kwa kweli mie pishi lolote liliotiwa mafuta ya kula yale ya kigoma hapana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu Bata hapana, siwezi kula ndege inajinyea[emoji23]

Ila sasa ule wali wanazi haragwe nazi mchuzi nyama, ka kisamvu mlalo nazi na lipespsi lake labariiiiiiiiiidi!! We jamaniiiii weeee nakula mpaka mnifukuze!!!
Huwezi kula ndege inayojinyea lkn wewe hapo ulipo unatembea na mavi tumboni boss.
 
Ma bich boy wazee wamagetoni wanasikiliza tu watoto wa kishua mnavyodeka kwenye misosi.

Endeleeni kudeka si mnakamba ndefu shingoni.

Sent using
 
Aisee we Khantwe si kwa kunisema huko[emoji23]
Haya bhana mi last born niacheni na mikaranga yangu na huwenda mnazani karanga zinazowekwa ni nzima nzima kumbe ni karanga za kusigina! Watu wa kusini bhana ushamba mwingii[emoji23]

Hivi mnaotukana kabechi mgagani mnauonaje sasa??
Ukisema Kuna vyakula huli halafu ukasema mgagani walau nitakuelewa upo serious!.
Unataka tukuanzishie tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe kijana ni mpuuzi sana hizi karanga zote mnazokula daslam umetoka nazo kwenu kigoma? Kwa taarifa yako asilimia 90 ya vyakula hapa kwenu vinatoka nyanda za juu kusini upo totoo??
 
Mi sio wa daslam Toto mi natoka Kanda ya ziwa ndo Kuna hizi Mambo za karanga kwenye mboga kazi kwenu washamba!

Achaneni na Mimi😂
 
Mi sio wa daslam Toto mi natoka Kanda ya ziwa ndo Kuna hizi Mambo za karanga kwenye mboga kazi kwenu washamba!

Achaneni na Mimi[emoji23]
Sawa mtoto mzuri last born tumekuacha
 
Me kwa vyakula ambavyo nimeshakula mpaka Sasa, wala sijui kama kuna chakula siwezi kula, almuhimu kisiwe haramu tu.
 
Huyo kalungu yeye huyo mdudu..ukienda mbez....goba...yaan had kero..mara ya kwanza nilidhan nimeona uchawi nkawa sielew..hawa wdudu gan
Nyama yake kama kuku tu.
Tulitoka kuwinda tunafika maskani rosti la kufa mtu.tukala.
Badae ndo maza anasema ilikua karunguyeye kakatiza tukamla kichwa ndo hiyo sauce.
Dah nilitapika njia nzima kurudi home.
 
Hahahah....mim nahis nakula kiila kitu..mim ukinikuta kwenye soko la samak vtu navyokula unaweza shangaa snaa
 
nackitika kuona kuna wanaume wanachagua misosi,na anajiona yupo ok
 
Nawasilisha
Sipendi samaki wala dagaa na sijui walinikosea nini(hata uwapikeje mi siwapendi)
Sipendi tambi,labda nkiwa nataka kufa naweza kula
Sipendi mikate na mandazi ntakula kwa shida tu
Sipendi wali,pilau angalau
 
Ndizi za kupikwa hata kwa mangumi sili. Sizipendi tangu niko mdogo, nimejitahidi kuzipenda imeshindikana.
 
Back
Top Bottom