monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mtoa post ivi unaijua kabechi au unaiskia?
Bora nifee njaa au nile ugali bila mboga
Bora nifee njaa au nile ugali bila mboga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona huli kila kitu!why?Nawasalimu kwa jina la jamuhuri mtaitikia wenyewe huko
Kila mtu kuna baadhi ya vyakula hawezi kuvila kwa sababu kama za magonjwa au kutokuvipenda.
Mimi binafsi siwezi kula vyakula vifuatavyo yani heri nishinde njaa. Sili sababu sivipendi tu.
~Viazi vitamu vya kuchemsha sili vya
Kukaanga nakula.
~Maharage yakiungwa na mafuta sili iwe kwa ugali hata kwa wali ila yakiwekwa nazi au mrenda wa majani nakula.
~Wali au ugali ukipoa sili
~kabichi hapana, kachumbali hapana
~Nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, sungura, Bata na nyama za pori zote sili
~Chai iwekwe mchai chai na tangawizi tofauti na hapo sinywi.
~Maandazi, mikate, skonsi Sili
Sili kwa sababu sivipendi sio sababu vinaniletea matatizo hapana
Hebu na wewe tuambie ni vyakula gani huwezi kula hata vipikwejeView attachment 2098882
Nina mdogo wangu kila akiona kabechi utasikia hii tunakula ili tusife.Mtoa post ivi unaijua kabechi au unaiskia?
Bora nifee njaa au nile ugali bila mboga