Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Acha ushamba unashangaa kabeji ya karanga mbona kisanga hichi,kabla hujabisha tafuta mtu akupikie hivyo aweke na karanga atoe roast fulani hivi ibaki kuwa siri yako😂
Kuna watu wanajua kupika acha aisee....kabeji nilikuwa siipendi lakini kuna binti akiipika kisha achanganye na nyama,haki ya Mungu inakuwa mzuri
 
Jinsi navyopenda wali sikuwahi kufikiria kunasiku utanishinda,,,ila wali Wauganda ulinishinda aisee haueleweki watu wa mbeya wachangamkie fursa ya kupeleka mchele kule mana doh,,,Yan niliagiza wali nashangaa wamechanganya magimbi ,mihogo, matoke hatar tupu na ukiashangaa sana unaweza kuchanganyiwa na
IMG_4181.jpg

ugali humo humo yan niliishia kula matoke tu.
 
jamanii jamani, kwa kweli mie pishi lolote liliotiwa mafuta ya kula yale ya kigoma hapana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu Bata hapana, siwezi kula ndege inajinyea[emoji23]

Ila sasa ule wali wanazi haragwe nazi mchuzi nyama, ka kisamvu mlalo nazi na lipespsi lake labariiiiiiiiiidi!! We jamaniiiii weeee nakula mpaka mnifukuze!!!
 
Panya ,kondoo mafirifiri,kalunguyeye ,mbwa. Sungura.
Ila vyote shatafuna😁
 
jamanii jamani, kwa kweli mie pishi lolote liliotiwa mafuta ya kula yale ya kigoma hapana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu Bata hapana, siwezi kula ndege inajinyea[emoji23]

Ila sasa ule wali wanazi haragwe nazi mchuzi nyama, ka kisamvu mlalo nazi na lipespsi lake labariiiiiiiiiidi!! We jamaniiiii weeee nakula mpaka mnifukuze!!!
Wali maharage the best food ever...nilikua mahala fulan miaka hyo...watoto wakibongo tulikua tuna crave for ile taste ya misos ya home...mfano ugali dagaa..wali maharage kachumbar..ndo nilikuja kuamin kwel sis vyakula vyetu wa Tz ni namba1....siku mtu akijitoa ufaham akapika unashangaa kijiji chote kinahamia hapo..achen.tu ...compare na nchi nyingne...Tz tuna msos mtam sanaaaa asikwambie mtu....
 
Kuna watu wanajua kupika acha aisee....kabeji nilikuwa siipendi lakini kuna binti akiipika kisha achanganye na nyama,haki ya Mungu inakuwa mzuri
Kabeji uchanganye na utumbo[emoji39][emoji39][emoji39] utajiramba hadi igunga huko
 
Wali maharage the best food ever...nilikua mahala fulan miaka hyo...watoto wakibongo tulikua tuna crave for ile taste ya misos ya home...mfano ugali dagaa..wali maharage kachumbar..ndo nilikuja kuamin kwel sis vyakula vyetu wa Tz ni namba1....siku mtu akijitoa ufaham akapika unashangaa kijiji chote kinahamia hapo..achen.tu ...compare na nchi nyingne...Tz tuna msos mtam sanaaaa asikwambie mtu....
Nashindwa kuelewa nitasavaivu vipi sehemu ambapo hakuna ugali
 
Back
Top Bottom