Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Hahahaaaaa. MR Tecno naomba nicheke kwanza kisha nakuja kuandika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitoiacha tecno yangu ata nikiwa na bilioni mkuu mama Samsung.
 
Hiyo timu moja ukishinda nitafute nikuonyeshe namna ya kula milo ya watu wenye pesaaa....... ila kwa sasa haujashika mshiko haina maana kukudokeza shila mshiko
 
Hiyo timu moja ukishinda nitafute nikuonyeshe namna ya kula milo ya watu wenye pesaaa....... ila kwa sasa haujashika mshiko haina maana kukudokeza shila mshiko
Mkuu ndio nipo kwenye maandalizi ili nikizikamata nisiwe mshamba.
 
Nakuambia kweli yan,kula dagaa,ugali dona,matembele,mchicha hivyo ndo vitakufaa wewe utatoka from zero to hero IQ
Hivyo nimeshakula sana mkuu bado nipo kwenye Uzero wangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…