Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Kula vyote vzur kwa kias,nyama,mboga ,matunda.maji.pombe,ugali.wali etcMkuu jibu swali vyakula ganj vya kula ukiwa na pesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula vyote vzur kwa kias,nyama,mboga ,matunda.maji.pombe,ugali.wali etcMkuu jibu swali vyakula ganj vya kula ukiwa na pesa?
Kumbe umemstukiaAaah mkuu hunitakii mema nifanyie starehe pesa ya mkopo.
Hahahaaa. Usijali banaaa.Sitoiacha tecno yangu ata nikiwa na bilioni mkuu mama Samsung.
Si utalipa boom la Milioni 150 likitoka?Aaah mkuu hunitakii mema nifanyie starehe pesa ya mkopo.
Usisahau kunitafuta nikufundishe milo ya kilodiMkuu ndio nipo kwenye maandalizi ili nikizikamata nisiwe mshamba.
Kumbe unaakili timamu enh, halafu unajiuguza wehu tu humu JF[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na lisipotoka je mkuu inakuaje?
Hahahaaa... Mkuu jitahidi kujiandaa kisaikolojia endapo matokeo yatakuja tofauti.Mkuu nimebate niliweka timu kama 20 hivi kwa buku ikaja kama milioni 150 timu karibia zote ziko fresh kasoro moja inacheza leo ,
Hapo ndio nipo napangilia matumizi mkuu.
Nakuambia kweli yan,kula dagaa,ugali dona,matembele,mchicha hivyo ndo vitakufaa wewe utatoka from zero to hero IQPlessure gani mkuu unaijua nyama choma vizuri mkuu.
Hivi kumbe hizi mbona wanakulaga ambao hawajatusua eee?Ngoja niendelee kula dagaa kauzu zangu mpaka namm nipate hela
Mmmh. Mr Tecno 😳😳😳Mkuu Nasubiria timu moja tu nibukue kama 150 M