CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Vyakula mbadala hasa wadudu ndo wanaaminika wanaweza saidia kupunguza balaa linalo nyemelea Dunia kwa sasa.
Ninavyo zungumzia wadudu nazungum,ia Edible insect. Hawa ni wadudu wazuri kwa ajili ya Chakula cha binadamu na mifano ni kama ville
1. Panzi
2.Kumbikumbi
3.Senene
4. Cricket
5.Aina ya funza
Na wengineo wengi tu ambao sijawataja.
Wadudu tajwa hapo juu tiyari wanatumiwa na baadhi ya watu au makabila maeneo tofauti tofauti za Dunia.
Kwa Africa walitumika mno kabla ya kuwasili kwa Missionary ambao walileta sana mazao ya bafaka na matunda na mboga. Na pia tujue kabisa kwamba Nafaka kama Mahindi, mitama, viazi, maharagwe na vinginevyo vililetwa Africa miaka ya ya 1600 kwenda juu.
Wadudu na wanyama poli na Matunda mwitu ndo ilikuwa chakula chetu kikuu.
Baada ya kuja kwa vyakula kama mahindi na kadhalika tukaachana na wadudu tukuaanza kula Michele na mahindi na kutokea hapo tukaona wadudu ni kinyaa tupu.
Leo hii kasi ya ulaji wa Edible insect umeongezekana sana.Wazungu walio tuletea mahindi tule wanageukiwa wadudu kwa kasi sana.
EU tiyari walisha ruhusu uingizaji wadudu kwa ajili ya mifugo na pia kama chakula cha binadamu
Kuna kampuni nyingi za wazungu kwa sasa zinawekeza sana kwenye Wadudu.
Huku sisi bado tunaamini wadudu ni kinyaa au ni vyakula vya watu walio kosa chakula ila vitu kama soda na vyakula vingine vya hovyo kutoka kwa wazungu tunaviona vya maana.
Hivyo ni time sasa ya kuwekeza kwenye edible Insects kwa ajili ya mifugo na Binadamu.
Tunaweza anza Na mifugo wakati tunasoma ramani kwa ajili ya binadamu.