Vyakula mbadala kwa ajili ya kulisha Population ya Dunia inayo ongezeka kwa kasi

Vyakula mbadala kwa ajili ya kulisha Population ya Dunia inayo ongezeka kwa kasi

Hahaa umewapenda? Ni sawa na Bacteria kuna Good Bacteria na Bad Bacteria ukimueleza mtu kwamba kuna Bacteria wazuri na anawala kila siku atakubushia vibaya mno
Bacteria kama lactobacteria wanatumika kugandisha maziwa, wengine wanaishi kwenye miili yetu ''symbiotic bacteria"
Wadudu ni watamu sana ila lazima wawe wametoka eneo safi, pia wawe wamepikwa vizuri
 
Back
Top Bottom