Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sasa mzee huo si utamaduni wao? Vyakula ni sehemu ya utamaduni pia, wameanza kuvila karne na karne sio kwa sababu eti ya upungufuKwani nchi za Asia wanao kula wadudu hawalimi? Hivi unajua Sekita ya Kilimo China? Unajua china ndo producer mkuu wa Mchele Duniani? Unajua ndo producer mkuu wa Kuku Duniani mbona wanakula wadudud?
Asian countries kibao wanakula wadudu tunawazidi nini? Niambie tunawazidi nini Thailand,
kuna vyakula vyetu ambavyo wachina ukiwapa hawataweza kula pia
hakuna upungufu wa chakula sasa hivi, hasa kitoweo, sioni haja ya kujilalazimisha kula vyakula ambavyo havipandi kisa watu fulani wanakula....
Sent using Jamii Forums mobile app