Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo.
Ni mara chache nno kuona chakula kinamwaga. Kikibaki kinahifadhiwa kwenye friji mpaka siku inayofuata. Shida inakuja kwenye umeme wetu ambao hukatika mara kwa mara ambapo husababisha chakula kuharibika.
lakini shida nyingine kubwa ni aina ya mafuta yanayotumika ,hii hasa ni kwenye hizi bar na hotel za kawaida ,kwa ajili ya kutaka faida kubwa hutumia mafuta ya bei poa ambayo yamejaa lehemu ,mbaya zaidi mafuta hayohayo hutumika kupikia chakula zaidi ya kimoja yatakaangia chips hayohayo yatakaangia mayai kuku samaki nk.
Viungo vingi ni vya kuokoteza kwenye masoko na vya bei poa ,kwa wale wapenzi wa kachumbari na salad mnalishwa minyoo mitupu kwa wale wapenzi wa tomato sauce nyingi ni feki za kutengenezwa mtaani.
Nyamachoma ,rost michemsho supu kuku na samaki vingi huwa vibudu na mizoga!!!tunalishwa vitu vya ajabu mno kuku wengi hawajachinjwa wamenyongwa nyama nyingi huwa hao wanyama wamekufa kwa ugonjwa nk samaki wengi huvuliwa kwenye mito na mabwawa ya mitaani full uchafu full sumu.
Nyama nyingine ni za mbwa paka nk.
Epuka michemsho mishkaki na roast za usiku supu za makongoro mkia ulimi nazo ndio hizohizo.
Tunakulaga vyakula ambavyo havina ladha au tunaharisha au kuumwa matumbo tujue tu kuwa siku hiyo tumelishwa ndaza vibudu au mizoga
Tuwe makini tunapoagiza hivi vyakula jamani