Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

mada nzuri sana, ila siku hizi kuna hotel hawapiki mpaka order maalum, kama ni ugali unasongewa, nyama unachomewa, kuzuia hili swala ni ngumu sana, ni bora ukabeba kachakula kako unaposafiri
Tatizo ya hizi hotel bei iko juu lakini unakula kitu fresh
 
Ukweli mtupu, wafanyabiashara wengi wa vyakula hapa Dar walishaacha kuwa wastaarabu. Faida kwanza afya ya mlaji itajijua yenyewe.
 
Maja munda gaki ni kazi/ji (kiendacho tumboni hakina makao ya kudumu)
 
na wapishi wa mandazi na chapati wako ktk mashindano ya nani atauza zaidi
View attachment 365178
Umenikumbusha enzi hizo niko o'level kuna dada mmoja alikuwa anatuuzia maandazi shuleni, hayakuwa mazuri sana, but kwa namna tulivyokuwa tunagombania ni hatari, utakuwa wauzaji wengine wapo hawana wateja,na maandazi yao ni mazuri pia bt tunatoana roho kwa Mama Faiza, baadae kuna mtu wake wa karibu akasema kuwa anachambia maji anayokandia maandazi.. Pytuuuu... But still tuliyapigania
 
mkuu umesoma ndanda boys
 
Kalabash lufungira na Hongera bar bamaga michemsho yenu imetia fora.
 
Back
Top Bottom