Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni mada ya kitambo sasa hivi kuna hilo la nyama kutofuatwa na nzi kabisa lakini pia nzi wasizidiMshana mbona wewe unatuletea kitu tofauti. Maana majuzi tu tulaimbiwa tuogope nyama ambazo hazifuatwi na inzi kwa kuwa mabuchani nao wameanza kuzipiga nyama zinazolala dawa anayopakwaga marehemu ili zisioze. Leo unatuambia kingine
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo.
Ni mara chache nno kuona chakula kinamwaga. Kikibaki kinahifadhiwa kwenye friji mpaka siku inayofuata. Shida inakuja kwenye umeme wetu ambao hukatika mara kwa mara ambapo husababisha chakula kuharibika.
lakini shida nyingine kubwa ni aina ya mafuta yanayotumika ,hii hasa ni kwenye hizi bar na hotel za kawaida ,kwa ajili ya kutaka faida kubwa hutumia mafuta ya bei poa ambayo yamejaa lehemu ,mbaya zaidi mafuta hayohayo hutumika kupikia chakula zaidi ya kimoja yatakaangia chips hayohayo yatakaangia mayai kuku samaki nk.
Viungo vingi ni vya kuokoteza kwenye masoko na vya bei poa ,kwa wale wapenzi wa kachumbari na salad mnalishwa minyoo mitupu kwa wale wapenzi wa tomato sauce nyingi ni feki za kutengenezwa mtaani.
Nyamachoma ,rost michemsho supu kuku na samaki vingi huwa vibudu na mizoga!!!tunalishwa vitu vya ajabu mno kuku wengi hawajachinjwa wamenyongwa nyama nyingi huwa hao wanyama wamekufa kwa ugonjwa nk samaki wengi huvuliwa kwenye mito na mabwawa ya mitaani full uchafu full sumu.
Nyama nyingine ni za mbwa paka nk.
Epuka michemsho mishkaki na roast za usiku supu za makongoro mkia ulimi nazo ndio hizohizo.
Tunakulaga vyakula ambavyo havina ladha au tunaharisha au kuumwa matumbo tujue tu kuwa siku hiyo tumelishwa ndaza vibudu au mizoga
Tuwe makini tunapoagiza hivi vyakula jamani
Ex mayor ameamua kuiba content 😂😂
Na hapo wakaishia kusema samahani babaNi kweli tunalishwa vyakula vya ajabu sehemu hizo, tumeishapatwa na kichefu, kutapika na kuharisha sana baada ya kula vyakula hivyo. Juzi kati hapa nimeenda kuwazozea mbovu mama lishe fulani baada kuniuzia take away food isiyofaa kuliwa na kuwaambia biashara ya kuuza chakula haifanywi hivyo, kuuzia watu chakula kibovu
Uzi wa 2015 yeye amepost September 2023 🤠🤠🤠 ndo kina buyobe hao wazee wa sogea telegramHapana mimi ndio nimeitoa kwake
ni kweli waliomba msamaha yaishe. Duh! Sijui ni wapi ndio kuna chakula salama? Mahotelini, migahawani au kwenye magenge ya mama/baba lishe? Tutakula wapi ikiwa hatuna muda wa kujipikia?Na hapo wakaishia kusema samahani baba
Acha kudanganya wewe nimefanya kazi hoteli na bar mambo ya paka, mbwa, kibudu acha ujinga unaongopa twende kwenye hiyo bar ukathibitisheKwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo.
Ni mara chache nno kuona chakula kinamwaga. Kikibaki kinahifadhiwa kwenye friji mpaka siku inayofuata. Shida inakuja kwenye umeme wetu ambao hukatika mara kwa mara ambapo husababisha chakula kuharibika.
lakini shida nyingine kubwa ni aina ya mafuta yanayotumika ,hii hasa ni kwenye hizi bar na hotel za kawaida ,kwa ajili ya kutaka faida kubwa hutumia mafuta ya bei poa ambayo yamejaa lehemu ,mbaya zaidi mafuta hayohayo hutumika kupikia chakula zaidi ya kimoja yatakaangia chips hayohayo yatakaangia mayai kuku samaki nk.
Viungo vingi ni vya kuokoteza kwenye masoko na vya bei poa ,kwa wale wapenzi wa kachumbari na salad mnalishwa minyoo mitupu kwa wale wapenzi wa tomato sauce nyingi ni feki za kutengenezwa mtaani.
Nyamachoma ,rost michemsho supu kuku na samaki vingi huwa vibudu na mizoga!!!tunalishwa vitu vya ajabu mno kuku wengi hawajachinjwa wamenyongwa nyama nyingi huwa hao wanyama wamekufa kwa ugonjwa nk samaki wengi huvuliwa kwenye mito na mabwawa ya mitaani full uchafu full sumu.
Nyama nyingine ni za mbwa paka nk.
Epuka michemsho mishkaki na roast za usiku supu za makongoro mkia ulimi nazo ndio hizohizo.
Tunakulaga vyakula ambavyo havina ladha au tunaharisha au kuumwa matumbo tujue tu kuwa siku hiyo tumelishwa ndaza vibudu au mizoga
Tuwe makini tunapoagiza hivi vyakula jamani
Kuharisha ni maramoja ama tumbo kukata.. Hasa kwa wenye matumbo sensitiveHawa wamenisababisha huwa siachi kutembea na Flagyl kwenye kimkoba changu....