Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

Poleni sana wakazi wa Dar es salaam sie huku kijijini Matombo ni Ugali kwa kwenda mbele hakuna mambo ya Chips Yai/kuku.
 
mi kachumbari,juice na maji ya migahawani situmii,typhoid ishanitesa sana.bora nilishwe vingine ulivyotaja hapo juu lakini vikiwa katika hali ya moto/vyamoto.
 
Poleni sana wakazi wa Dar es salaam sie huku kijijini Matombo ni Ugali kwa kwenda mbele hakuna mambo ya Chips Yai/kuku.
Utakaa huko huko milele bila kusafiri? Tena wageni ndio huingizwa cha kike sana...kuna lugha za kuambiana kwenye bar na migahawa...! Mtu anapouliza leo nile nini? Ana maana kubwa sana
 
Kuna mishkaki pia ile ya miamia jioni hasa maeneo ya vituo vya daladala huwa inapochomwa na moto unawaka kwenye jiko halaf pia full viungo, jamaa ananunua nyama ya ng'ombe kilo moja halafu anachanganya na nyama ya paka watano mishkaki ndani ya saa moja tu imeisha yaani Dar tunalishwa kila kitu ni shiidah tuweni makini na hivi vya bei rahisi
 
ukishushia na konyagi pia ivo vyakula safi vinavyopikwa nyumbani sijui viakua kitu gani tena
1468666753066.jpg

Vya nyumbani vinakuwa vipolo,Usicheze na Moja moto Moja Barriddi..
1468666772123.jpg
 
Back
Top Bottom