Agnes Madaa
Member
- Aug 29, 2023
- 93
- 170
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hivi mnakataa ndoa, hamna picha mtaacha kuona, 😂 😂ni kweli waliomba msamaha yaishe. Duh! Sijui ni wapi ndio kuna chakula salama? Mahotelini, migahawani au kwenye magenge ya mama/baba lishe? Tutakula wapi ikiwa hatuna muda wa kujipikia?
'...Hamna namna'... Msemo huu kwa mwaka huo Pinda alikuwa kishauanzisha?Kwakweli raha ya [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji481] ni [emoji490] [emoji490] [emoji490] [emoji490] [emoji491] [emoji490] [emoji491] [emoji490] hivyo acha tule viporo tu maana hamna namna sasa
Nadhani huo msemo ulikuwepo tu ila yeye alipoutumia ukatrend'...Hamna namna'... Msemo huu kwa mwaka huo Pinda alikuwa kishauanzizha?