mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
bado haka katabia unako tangu enzi zile ,safi sana kasindeNapenda msosi sana ila niko makini na wapi nakula. Nashukuru jamii nilizoishi zimenifunzisha kubeba chakula au kitafunwa toka nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado haka katabia unako tangu enzi zile ,safi sana kasindeNapenda msosi sana ila niko makini na wapi nakula. Nashukuru jamii nilizoishi zimenifunzisha kubeba chakula au kitafunwa toka nyumbani.
bado haka katabia unako tangu enzi zile ,safi sana kasinde
kabsaaa sasa ningekuoa ungekuwa unanifungashia lunch kabisa ningenenepa ,ndio hivyo tena ukaipiga kibutiUmeona eeh.... jasiri haachi asili yake...
Mhh aise sasa wale ambao mchana tupo mbio mbio itabidi sasa wale wapenzi wetu a.k.a wake zetu wapendwa watuandalie vicontena!!! Sasa hapa mwanaume una sandwich umeandaliwa home inakuwaje? Ila kwa wazungu inawezekana kubeba ila kwa waafrike eti si utaratbu kwa wanaume. Wacha tuumwe typhoid, H. Pylori, kipindupindu na madudu yote mpaka minyoo wale wa kutafuna ubongo.
kabsaaa sasa ningekuoa ungekuwa unanifungashia lunch kabisa ningenenepa ,ndio hivyo tena ukaipiga kibuti
sijui ni vyura hao au vifaranga duu
wachache wenye akili watakuelewa mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji106] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
kweli mkuuUzuri wa maandishi hayafutiki