Vyakula tunavyolishwa kwenye Baa, Hotelini, Migahawa nk

ni kweli waliomba msamaha yaishe. Duh! Sijui ni wapi ndio kuna chakula salama? Mahotelini, migahawani au kwenye magenge ya mama/baba lishe? Tutakula wapi ikiwa hatuna muda wa kujipikia?
Ni hivi mnakataa ndoa, hamna picha mtaacha kuona, 😂 😂
 
Kwakweli raha ya [emoji482] [emoji482] [emoji481] [emoji481] ni [emoji490] [emoji490] [emoji490] [emoji490] [emoji491] [emoji490] [emoji491] [emoji490] hivyo acha tule viporo tu maana hamna namna sasa
'...Hamna namna'... Msemo huu kwa mwaka huo Pinda alikuwa kishauanzisha?
 
Ndo maana napenda kujipikia chakula changu safi geto, wali samaki na parachichi pembeni au ndizi mbivu. Ninapokula restaurant huwa najitahid kula local foods na kwenye restaurant za akili.. sio hvi vi miyeyusho bei poa. Cheap things are expensive, take care of your health guys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…