Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Zunguka kote!

Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!

Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili wapike kwa makundi na mbwembwe kibao mara watupia chumvi kwenye moto kutoa husda lakini ..pamoja na mbwembwe zooote chakula huwa kibaya sana!

Lakini wanaume saingine hata mchele hawachambui, viazi hawamenyi, vitunguu wanatupia hivyo pasipo maandalizi lakini huwa vinaiva na kuwa mtamu!

Zunguka kote huwezi kuta mwanaume kapika chakula kwenye shughuli kikawa kibaya!

Ila wakipika wanawake sasa uwiiiiiiiii! Wanawake ukiwafuatilia mambo yao hataunashindwa kuwaelewa aliyewaroga nani?
 
Labda huwa mbawatazama sana, wanaondoa umakini 😁
 
wanawake si ndio wapishi majumbani na kwenye ubarikio, sherehe zetu mitaani? Ila kwenye hoteli kubwa wapishi huwa ni wanaume zaidi.
 
Back
Top Bottom