Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

Kuna kaukweli Fulani ivi , ila Mimi nazani ni sababu hawawezi kupika Chakula kingi. Chakula Cha shughuli kama msiba au harusi kinakuwa kingi na Wanawake hawana uzoefu wa kupika Chakula kingi.
 
Zunguka kote!

Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!

Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili wapike kwa makundi na mbwembwe kibao mara watupia chumvi kwenye moto kutoa husda lakini ..pamoja na mbwembwe zooote chakula huwa kibaya sana!

Lakini wanaume saingine hata mchele hawachambui, viazi hawamenyi, vitunguu wanatupia hivyo pasipo maandalizi lakini huwa vinaiva na kuwa mtamu!

Zunguka kote huwezi kuta mwanaume kapika chakula kwenye shughuli kikawa kibaya!

Ila wakipika wanawake sasa uwiiiiiiiii! Wanawake ukiwafuatilia mambo yao hataunashindwa kuwaelewa aliyewaroga nani?
ujuaji na ufundi unakuwa mwingi sana
 
Hamna lakini hawa viumbe sijui wana shida gani zunguka sehem nyingi vyakula wakipika vinakuwa vibaya! Sasa sijui ni vile wanajidai ni multiworkers!
Kwamba wanaweza shughuli nyingi kwa pamoja au nini
Hata uboo wanaotaka ukiwailiza wanajichanganya,ukiwa waambia nchi 5 watasema Iko poa,ukiwaambia wakiwa salooni watasema Iko ndogo,wakienda kwenye kigodoro wanakula yoyote.
 
Hahaahh
 
Wanawake kupika chakula kingi huwa hawawezi wee chunguza.
Hata mama ntilie wengi vyakula huwa vibovu tofauti na kwenye migahawa. Na migahawa mara nyingi hupika wanaume.
 
wanawake si ndio wapishi majumbani na kwenye ubarikio, sherehe zetu mitaani? Ila kwenye hoteli kubwa wapishi huwa ni wanaume zaidi.
Wanawake chakula kingi (cha watu wengi) huwa hawawezi kupika.
 
Zunguka kote!

Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!

Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili wapike kwa makundi na mbwembwe kibao mara watupia chumvi kwenye moto kutoa husda lakini ..pamoja na mbwembwe zooote chakula huwa kibaya sana!

Lakini wanaume saingine hata mchele hawachambui, viazi hawamenyi, vitunguu wanatupia hivyo pasipo maandalizi lakini huwa vinaiva na kuwa mtamu!

Zunguka kote huwezi kuta mwanaume kapika chakula kwenye shughuli kikawa kibaya!

Ila wakipika wanawake sasa uwiiiiiiiii! Wanawake ukiwafuatilia mambo yao hataunashindwa kuwaelewa aliyewaroga nani?
Kasie kuna tubuma huku ebu njoo utie neno
 
Back
Top Bottom