Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA -Tundu Lisu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Akitoa wasilisho la Pamoja la Viongozi wa Vyama 11 vya Siasa juu ya kauli hizo, Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Juma Ali Khatib amesema kauli zilizotolewa na Tundu Lissu ni kauli za kibaguzi ambapo wameziomba Mamlaka husika ikiwemo Msajili wa vyama vya siasa pamoja na vyombo vyengine kuangalia kwa makini hatua za kuchukua kwa kiongozi huyo na chama chake.
"Sisi Vyama 11 vya siasa hatuungi mkono kauli zako Tundu Lisu na tunazilaani, matamshi yako ya kibaguzi kwa kuonesha wazi wazi watu wa upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawana haki ya kufanya kazi upande mwingine na huu ni ubaguzi, uchochezi na kuonesha wazi wazi umefilisika kimawazo, kifikra na kisiasa na kutafuta Kiki za kisiasa,"amesema.
"Kwa msingi huu alioonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ni dhahiri anawaambia wananchi kwamba yeye ni mbinafsi, mwenye uchu wa madaraka, mchonganishi, mfitinishaji na mwenye dhamira ovu kwa Muungano wetu," ameongeza.
"Tunavitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini, pamoja na msajili wa vyama vya siasa kufanya uchunguzi wa kina juu kauli anazozitoa ndugu Tundu Lissu kupitia kwenye majukwaa ya kisiasa kama ni za kwake au anatumwa na chama chake na ikithibitika Msajili wa vyama kisiasa achukuwe hatua kwa mujibu wa sheria kutokana kuwa kauli hizo zinalengo la kuligawa taifa letu," ameeleza
Vyama vilivyotoa tamko hilo ni ADA TADEA, CCK, NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU, UMD, NRA na Chama cha DP.
Inasikitisha sanaKujibu hoja za Lissu, hapana, kuelezea mapungufu ya katiba hapana, ila kukaa na kujipendekeza kwa mambo ya hovyo ni sawa, wadanganyika wana matatizo gani?
Vyama shikiziHivi vyama kwanini huwa havijitokezi kiongozi yeyote wa CCM akitoa kauli za kichochezi?
Vyama vya msimu.KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA -Tundu Lisu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Akitoa wasilisho la Pamoja la Viongozi wa Vyama 11 vya Siasa juu ya kauli hizo, Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Juma Ali Khatib amesema kauli zilizotolewa na Tundu Lissu ni kauli za kibaguzi ambapo wameziomba Mamlaka husika ikiwemo Msajili wa vyama vya siasa pamoja na vyombo vyengine kuangalia kwa makini hatua za kuchukua kwa kiongozi huyo na chama chake.
"Sisi Vyama 11 vya siasa hatuungi mkono kauli zako Tundu Lisu na tunazilaani, matamshi yako ya kibaguzi kwa kuonesha wazi wazi watu wa upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawana haki ya kufanya kazi upande mwingine na huu ni ubaguzi, uchochezi na kuonesha wazi wazi umefilisika kimawazo, kifikra na kisiasa na kutafuta Kiki za kisiasa,"amesema.
"Kwa msingi huu alioonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ni dhahiri anawaambia wananchi kwamba yeye ni mbinafsi, mwenye uchu wa madaraka, mchonganishi, mfitinishaji na mwenye dhamira ovu kwa Muungano wetu," ameongeza.
"Tunavitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini, pamoja na msajili wa vyama vya siasa kufanya uchunguzi wa kina juu kauli anazozitoa ndugu Tundu Lissu kupitia kwenye majukwaa ya kisiasa kama ni za kwake au anatumwa na chama chake na ikithibitika Msajili wa vyama kisiasa achukuwe hatua kwa mujibu wa sheria kutokana kuwa kauli hizo zinalengo la kuligawa taifa letu," ameeleza
Vyama vilivyotoa tamko hilo ni ADA TADEA, CCK, NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU, UMD, NRA na Chama cha DP.
Ni kawaida mtu kutafuta huruma baada ya kuzidiwa hoja.Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Akitoa wasilisho la Pamoja la Viongozi wa Vyama 11 vya Siasa juu ya kauli hizo, Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Juma Ali Khatib amesema kauli zilizotolewa na Tundu Lissu ni kauli za kibaguzi ambapo wameziomba mamlaka husika ikiwemo Msajili wa vyma vya siasa pamoja na vyombo vyengine kuangalia kwa makini hatua za kiongozi huyo na chama chake na kuchukua hatua zinazostahiki.
View attachment 2982625
"Sisi Vyama 11 vya siasa hatuungi mkono kauli zako Tundu lisu na tunazilaani, matamshi yako ya kibaguzi kwa kuonesha wazi wazi watu wa upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawana haki ya kufanya kazi upande mwingine na huu ni ubaguzi, uchochezi na kuonesha wazi wazi umefilisika kimawazo, kifikra na kisiasa na kutafuta Kiki za kisiasa,"amesema.
"Kwa msingi huu alioonesha Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA ni dhahiri anawaambia wananchi kwamba yeye ni mbinafsi, mwenye uchu wa madaraka, mchonganishi, mfitinishaji na mwenye dhamira ovu kwa Muungano wetu," ameongeza.
"Tunavitaka vyombo vya ulinzi na usalama nchini, pamoja na msajili wa vyama vya siasa kufanya uchunguzi wa kina juu kauli anazozitoa ndugu Tundu Lissu kupitia kwenye majukwaa ya kisiasa kama ni za kwake au anatumwa na chama chake na ikithibitika Msajili wa vyama kisiasa achukuwe hatua kwa mujibu wa sheria kutokana kuwa kauli hizo zinalengo la kuligawa taifa letu," ameeleza
View attachment 2982626
"Vyombo vya ulinzi na usalama na wao wachukue hatua stahiki dhidi yake au chama chake ili iwe somewhat tabia hii," amefafanua.
Amesema kuwa, ni ukweli usiopingika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Taifa la Tanzania limezidi kuimarisha kwa kuwepo umoja na mshikamano zinatokana na juhudi zake za kuimarisha demokrasia nchini
Aidha Mwenyekiti huyo amesitiza kuwa, kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara na shughuli za kisiasa kusiwafanye viongozi wa siasa kuvuka mipaka na kuwatukana viongozi hadharani pamoja na kutoa kauli za uchohezi na ubaguzi ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa nchi.
"Ni ukweli kuwa Dkt. Samia amefungua mikutano ya hadhara ili viongozi wa vyama vya siasa wanadi Sera zao kwa wananchi na si kutumia vibaya ruhusa hiyo," ameeleza.
Kwa upande wake Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Ali Makame Issa amewataka Watanzania kuacha kusikilza na kusambaza kauli za kibaguzi znazotolewa na kiongozi huyo.
Majuma kadhaa yaliyopita Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alitoa kauli za kukosa maamuzi ya serikali huku akimtaja Rais wa Jamhuri ay Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akidai kuwa anafanya maamuzi ya kuwakandamiza watanzania Bara kwa kuwa ametoka upande wa Pili wa Muungano, Tanzania Zanzibar
Vyama vilivyotoa tamko hilo ni ADA TADEA, CCK, NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU, UMD, NRA na Chama cha DP.
Source: Matukio Daima
Teh teh teh 😃 😃 😃 hatari kweli kweliVyama havifanyi siasa vinaonekana tu kipindi Cha kuikabili CHADEMA
Njaa ndio zinawasumbua ,hao hawana tofauti na akina MwijakuHivi vyama kwanini huwa havijitokezi kiongozi yeyote wa CCM akitoa kauli za kichochezi?
Ni kawaida mtu kutafuta huruma baada ya kuzidiwa hoja.
Hawa wanatafuta huruma tu, wamjibu lissu, hoja inajibiwa kwa hoja
Lisu hajui muungano huyo achana kasoma Bure kuanzia shule za Msingi Hadi chuo kikuu Bure haelewi kitu kuwa hizo pesa za yeye kusoma Bure zikitoka wapi kazaliwa 1968 baada ya muungano baba yake alikuwa lofa wa kufa mtu asingeweza kumsomeshaTanzania tuna watu wengi sana na si lazima Warioba aongee ndiyo tujue kuna ukweli.Tuliosoma somo la Historia na Elimu ya Siasa tunamwelewa sana Tundu Lissu kwani anaongelea yale yote yaliyosahaulika na Awamu hii ya CCM.Umoja wetu utavurugwa na Viongozi wakuu wa Nchi pamoja na mapandikizi yao kwa kung'ang'ania Muungano ambao unaibeba nchi moja na kuidharau nyingine na wala si Tundu Lissu.
Vyama utopolo vina nini cha kujibu?Hivi vyama kwanini huwa havijitokezi kiongozi yeyote wa CCM akitoa kauli za kichochezi?
Anapiga miyowe tu ya kijinga kwani Kabila lake Lusu TRA wanachangia asilimia ngapi kwenye budget ya muungano ?Kinana kaongea hakuna kitu. Vyama 11 navyo vimeongea hakuna kitu. Wote wamepigwa spana za kutosha.
Yaani Wazanzibari wanatubagua Watanganyika kwa vitendo wao wamekaa kimya. Mh Lisu kaweka banana namna Katiba ya sasa ilivyokuwa na mapungufu eti wanamuita mchochezi.
Kinana eti anasema mchakato wa Katiba Mpya ni wa vyama vyote na siyo Chadema na CCM. Vyama hivi 11 vingetoa maoni gani kwa mtindo huu??? Sheria ya uanzishwaji wa Vyama Vingi Vya Siasa hawajui. Watapigwa spana na Wananchi wenyewe na wala siyo Chadema.