Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

Kweli Ujinga hauna mipaka.
 
WASAKA Tonge KAZINI, Hii Aibu Sana Sana










Wanalani Ukweli, Hawa Wawapi Hawa!!!
 
Navipongeza hivyo vyama vya kizalendo kwa kukerwa na kauli za Lissu. Ila ninavishauri hivyo vyama na vyenyewe viache upumbavu wa kukaa kimya wakati kuna mambo mengi ya kuongelea. Kuna mambo mengi wananchi wanayapigia kelele ila vyama 11 vya kipuuzi huwa viko kimya kama vile sio kazi yao kisiasa.
 
Kujibu hoja za Lissu, hapana, kuelezea mapungufu ya katiba hapana, ila kukaa na kujipendekeza kwa mambo ya hovyo ni sawa, wadanganyika wana matatizo gani?
Inasikitisha sana
 
Vyama vya msimu.
 
Ni kawaida mtu kutafuta huruma baada ya kuzidiwa hoja.

Hawa wanatafuta huruma tu, wamjibu lissu, hoja inajibiwa kwa hoja
 
Ni kawaida mtu kutafuta huruma baada ya kuzidiwa hoja.

Hawa wanatafuta huruma tu, wamjibu lissu, hoja inajibiwa kwa hoja

Wanafiki wakubwa hawa. Hawa ndio maadui wa Taifa letu. Wanaamua kuwa wanafiki ili tu wapewe makombo angalao ya kuyajaza matumbo yao.

Hongera sana Lisu. Tunaomba Mungu aendelee kukulinda kama ambavyo amekulinda siku zote ili uendelee kuwa sauti ya Taifa linaloharibiwa na watu wanafiki.
 
Lisu hajui muungano huyo achana kasoma Bure kuanzia shule za Msingi Hadi chuo kikuu Bure haelewi kitu kuwa hizo pesa za yeye kusoma Bure zikitoka wapi kazaliwa 1968 baada ya muungano baba yake alikuwa lofa wa kufa mtu asingeweza kumsomesha

Kilichotokea mapinduzi ya Zanzibar yalipotokea Karume aliua wapemba wengi sana waliokuwa wakitawala Zanzibar na waziri mkuu Mpemba aliyeshinda uchanguzi halali kabisa Shamte

Kifupi baada ya Tanganyika kupata uhuru 1961 Nyerere alitaka kwenda mfumo wa kikomunisti wa kijamaa.Na Nyerere alikuwa na wanasiasa Wenye mawazo ya kikomunisti wasomi kama yeye Zanzibar wakiwemo akina Abdulahaman Babu Mpemba nk ambao walikuwa na vyama vya kikomunisti Zanzibar walioshiriki uchaguzi huru ulionwingiza Shamte kama Waziri mkuu wa Zanzibar 1963

Mwaka 1964 Karume akampindua waziri mkuu Mpemba Shamte aliyechaguliwa kidemokrasia kabisa.Karume Wala hakumpindua sultan uongo.alipindua Serikali halali kabisa iliyochaguliwa na wazanzibari chini ya Waziri mkuu Shamte

Sasa baada ya mapinduzi 1964 Karume aka Panick kuwa Shamte aweza kumpindua na Kwa kuwa hakuwa na Ideology yeyote akahofia wasomi akina Abdulahmam Babu Mpemba waweza mpindua waweke ukomunisti akaanza kuua wapemba Hadi hawakujua wakimbilie wapi.

Nyerere wakati huku Tanganyika katangaza kuwa anataka ukomunisti aliolaghai watanzania kuwa ni African Socialism .Mwongo.Ukikuwa ukomunisti.Wawekezaji wazungu wakaamua kuondoka .Nyerere akajikuta Hana waanyabiashara wakubwa walipa Kodi sababu Kipindi hicho Tanganyika hakukuwa na wafanyabiashara wakubwa wa maana ngozi nyeusi kulipa Kodi kubwa za Hadi kuwezesha Tundu Lisu asome Bure Toka Msingi Hadi chuo kikuu

Ndipo Nyerere msomi akaona ili apate Kodi kubwa aruhusu wapemba wanaonyanyaswa na kuuawa na Karume Zanzibar ruksa kuja Bara waishi popote Tanganyika ili kuwaokoa wasiuawe Zanzibar lakini pia kuokoa uchumi wa Tanganyika upate wafanyabiashara serious walipa Kodi sio wachovu wa Kabila la Tundu Lisu wasio na kitu na wasio walipa Kodi wakubwa akiwemo baba yake na Babu yake walikuwa malofa wa kutupwa

Ndipo akamlaghai Karume kuwa watu wako wazanzibari ruksa kuja Tanganyika kuishi popote na kuwekeza popote ila watanganyika sio ruksa kuja kwako kuwapa Ardhi

Matokeo yake Tanganyika wapemba Matajiri wote wakjahamishia biashara zao Tanganyika Hadi Leo Zanzibar imekula kwao Wazazibari matajiri wakubwa wote biashara zao linategemea bara na ofisi Kuu zao ziko Tanganyika ambako ndiko hulipa Kodi na ndio waliotoa pesa nyingi za Kodi zilizomuwezesha Tundu Lisu kusoma Bure Kodi za wapemba wafanyabiashara wakubwa walioletwa na muungano wa Nyerere na Karume

Hadi Leo wapemba wanaingiza pesa nyingi kuliko Kabila la Lisu wauza karanga ubuyu na alizeti
Tanganyika tunafaidi sana kupitia Kodi za wazazibari Wenye biashara kubwa Tanganyika wakiwemo Akina Azam Mzee Bakhresa

Wanyaturu Kabila la Lisu kwenye mchango TRA wanachangia Nini?
Ukilinganisha na wapemba walikuja kuwekeza Tanganyika Kwa kufurahia huo muungano Karume na Nyerere walisaini.
 
Hivi vyama kwanini huwa havijitokezi kiongozi yeyote wa CCM akitoa kauli za kichochezi?
Vyama utopolo vina nini cha kujibu?
Matutusa watupu, inabidi watoe bolt kwenye macho/masiko yao ndio waanze kuongea. hawa watu ni kama vile hawajui wananchi wanataka nini ili hali Warioba alisha watafunia kila kitu, wamebaki kumeza tu, lakini wapi, labda inabidi walambe matapishi ndio waelewe wananchi wanataka nini.
 
Kinana kaongea hakuna kitu. Vyama 11 navyo vimeongea hakuna kitu. Wote wamepigwa spana za kutosha.

Yaani Wazanzibari wanatubagua Watanganyika kwa vitendo wao wamekaa kimya. Mh Lisu kaweka banana namna Katiba ya sasa ilivyokuwa na mapungufu eti wanamuita mchochezi.

Kinana eti anasema mchakato wa Katiba Mpya ni wa vyama vyote na siyo Chadema na CCM. Vyama hivi 11 vingetoa maoni gani kwa mtindo huu??? Sheria ya uanzishwaji wa Vyama Vingi Vya Siasa hawajui. Watapigwa spana na Wananchi wenyewe na wala siyo Chadema.
 
Anapiga miyowe tu ya kijinga kwani Kabila lake Lusu TRA wanachangia asilimia ngapi kwenye budget ya muungano ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…