Vyama 11 vya Siasa vyalaani kauli za Tundu Lissu

Hapo utakuta hata gharama ya ukumbi, imelipwa na ccm! Hao ni wajinga wajinga kama wengine na kama Yule "komandoo" Wa madafu!
 
Taifa mmeshaligawa siku nyingi sana mlipo Anza kukataa watz bara kumiliki Ardhi Zanzibar,mlipokataa watz bara hawawez pata ajira Zanzibar mfano kua mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa ila mzanzibar anaweza hayo bara,Muungano mmeupiga mliposema muwe na serkal yenu ila bara wasiwe na serkal Yao,mliposema Rais wa Muungano anaweza toka Zanzibar ila Rais wa Zanzibar hawez toka bara... Hayo anayosema Lissu yapo kweny mioyo ya wabara weng hata mkimnyamazisha Bado yapo mioyon mwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…