Hadi UTT-AMIS 🤣😂😅Wasaliti kila mahali duh,
WELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Watu sio wajinga bana
Pia soma Rais Samia akutana na Wagombea Urais kutoka Vyama 16 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Samia ameona hii njia bora ya kupata "Maridhiano" kwa kuwaita chawa wao ili waonyeshe nchi ipo na umoja na kila kitu kipo sawa? Maana Lissu tunajua hawezi kukubali huu upuuzi, angekuwa msaliti sasa hivi angekuwa uraiani na wananchi tungemwona hana maana! Mpina ili walau kukeep ile dignity aliyobakinayo inabidi nae akaze.
Kaona awaweke "Wabaya wake" pembeni abaki na hao chawa ajisafishe ili akwepe kitanzi cha ICC? Maridhiano na hao jamaa ya nini kama walikubaliana naye tangia mwanzo?
Hili ni bomu jingine linaenda kulipuka, HAKUNA NJIA YA MKATO wakati mamia kwa maelfu wamepoteza maisha! Huwezi UKAUA halafu ukataka UTAMALAKI!
Huo udaktari na kichwa maji aliupataje?WELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.
Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.
ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
Vyote ni viama vya upigaji. Waridhiane nini?Wakuu,