Alama za nyakati zinasemaWELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.
Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.
ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
huenda mpumbavu ubebaki pekeyako tu Tanzania gentlemanAlama za nyakati zinasema
Watz si wapumbavu kiasi hicho!
Halafu mbona naona makafiri wawili tu.Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Watu sio wajinga bana
Pia soma Rais Samia akutana na Wagombea Urais kutoka Vyama 16 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Samia ameona hii njia bora ya kupata "Maridhiano" kwa kuwaita chawa wao ili waonyeshe nchi ipo na umoja na kila kitu kipo sawa? Maana Lissu tunajua hawezi kukubali huu upuuzi, angekuwa msaliti sasa hivi angekuwa uraiani na wananchi tungemwona hana maana! Mpina ili walau kukeep ile dignity aliyobakinayo inabidi nae akaze.
Kaona awaweke "Wabaya wake" pembeni abaki na hao chawa ajisafishe ili akwepe kitanzi cha ICC? Maridhiano na hao jamaa ya nini kama walikubaliana naye tangia mwanzo?
Hili ni bomu jingine linaenda kulipuka, HAKUNA NJIA YA MKATO wakati mamia kwa maelfu wamepoteza maisha! Huwezi UKAUA halafu ukataka UTAMALAKI!
SAmia sio Dr, aliusomea chuo gani na kwa akili ipi aliyonayo??.WELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.
Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.
ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
Shoga chizi karogwa tenaWELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.
Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.
ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
achana na mawazo mgando na tuliza mihemko nonsense gentlemanSAmia sio Dr, aliusomea chuo gani na kwa akili ipi aliyonayo??.
Labda Dr wa ndoto, maana delusion ndo profeshno yake😂😂WELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.
Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.
ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
Ili wapige/wakate mkono unaowalisha?Hao "wagombea" ndio project za CCM
Sijui hao wagombea kwanini huwa hawachambui wala hawaonekani kwenye masuala kama utekaji, ufisadi, mauaji.
Wanaonekana kwenye buffet za vyakula na bahasha za khaki.
Ninachofurahi watanganyika kwa sasa wameelimika na watapuuza hilo genge la washirika wa CCM na ukitaka kuamini hilo fuatilia comments katika post yoyote itakayohusu mkutano huo wa Samuya na washirika wa CCM.
alikudanganya nani kwamba kua dr. au prof. lazima ukae darasani usome makaratasi hadi utoe upara?Labda Dr wa ndoto, maana delusion ndo profeshno yake😂😂
Ukweli CCM na Samia wake maji ya shingo, wanajitekenya na kucheka wenyewe! Kufanya maridhiano na vyama vyake shikizi si ujinga bali ni wehu uliokubuhu!Wakuu,