alikudanganya nani kwamba kua dr. au prof. lazima ukae darasani usome makaratasi hadi utoe upara?
uvumbuzi wa kinadharia na kivitendo unaweza kukupatia hadhi yoyote duniani.
Dr.Samia Suluhu Hassan ni championi wa mazingira, ni championi wa afya, ni mwanafalasafa wa amani, mwanadiplomasia mpatanishi na championi wa usuluhishi wa migororo Africa na dunia nzima inamtambua.
Na ndio maana mamia ya vyuo vikuu na taasisi za elimu na tafiti za kitaifa na kimataifa zenye ithibati tajika, zimefanya tafiti na kubaini kwamba Dr.Samia Suluhu Hassana ni mbunifu na ana uwezo mkubwa mno wa kitaaluma, pengine kuliko hata hadhi ya kisiasa aliyonayo au wadhifa wa ukuu wa nchi alionao, na vikaona kwamba kwa uchache atunukiwe heshi hiyo ya hadhi ya juu zaidi duniani na ndio maana dunia nzima inamtambua rais wa Tanzania ni Dr.Samia Suluhu Hassan.
sawa my lady?