PostGE2025 Vyama 16 "Kuomba mkutano na Rais Samia", njia ya mkato kuelekea Maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Halafu mbona naona makafiri wawili tu.
 
WELL DONE DR.SAMIA SULUHU HASSAN.

Huku ni kuimarika kwa demokrasi na kushamiri kwa uhuru wa vyama vya siasa, kuamua kungana na kua na uelekeo wa pamoja baada ya uchaguzi mkuu kumalizika salama salimini.

ASANTE VYAMA VYA SIASA NCHINI
Labda Dr wa ndoto, maana delusion ndo profeshno yake😂😂
 
Ili wapige/wakate mkono unaowalisha?
 
Labda Dr wa ndoto, maana delusion ndo profeshno yake😂😂
alikudanganya nani kwamba kua dr. au prof. lazima ukae darasani usome makaratasi hadi utoe upara?

uvumbuzi wa kinadharia na kivitendo unaweza kukupatia hadhi yoyote duniani.
Dr.Samia Suluhu Hassan ni championi wa mazingira, ni championi wa afya, ni mwanafalasafa wa amani, mwanadiplomasia mpatanishi na championi wa usuluhishi wa migororo Africa na dunia nzima inamtambua.

Na ndio maana mamia ya vyuo vikuu na taasisi za elimu na tafiti za kitaifa na kimataifa zenye ithibati tajika, zimefanya tafiti na kubaini kwamba Dr.Samia Suluhu Hassana ni mbunifu na ana uwezo mkubwa mno wa kitaaluma, pengine kuliko hata hadhi ya kisiasa aliyonayo au wadhifa wa ukuu wa nchi alionao, na vikaona kwamba kwa uchache atunukiwe heshi hiyo ya hadhi ya juu zaidi duniani na ndio maana dunia nzima inamtambua rais wa Tanzania ni Dr.Samia Suluhu Hassan.

sawa my lady?
 
Ukweli CCM na Samia wake maji ya shingo, wanajitekenya na kucheka wenyewe! Kufanya maridhiano na vyama vyake shikizi si ujinga bali ni wehu uliokubuhu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…