Vyama rafiki vinasemaje uchaguzi ndani ya CHADEMA? Msiwe kimya

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Wasalaam,

Ee ni vyama rafiki ndiyo. ACT, Cuf, Chauma, Nccr mageuzi na vingine.

Unaelewa kuwa huko chadema moto unawaka? Mbona hawajotokezi hata kutoa fursa za kuwapokea wanachama wapya watakao kumbwa na kadhia ya uchaguzi.
Lipumba, Zitto, sipunda, Mbatia msiwe kimya toeni maoni yenu yanaweza ongeza moto huko chadema.

Wasisubirie ccm iwazoe, waanze kupiga debe.

Trh 18-19 kwa upokezi pia wa wanachama wapya. Stay tuned for a big surprise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…