tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
- Thread starter
- #21
Wanaacha kudeal na system wanadeal na mtu! Hawatofanikiwa hata kama atawekwa mwingine kwenye hiyo nafasi.Hawakutoa hoja? Huyu alieteuliwa ndie aliefanya madudu uchaguzi uliopita, sasa unafikiri ACT watafurahi kuona amerejeshwa tena?