Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao.
Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo.
Kudai katiba mpya ni ukombozi katika kudai haki.
Nani ataunga mkono shughuli za vyama hivi kama vyenyewe havijihusishi kwenye shughuli za wengine?
Hapa baba anatoa somo.
Tujiulize vyama vyetu hujihusisha na jambo gani linaloihusu jamii?
"Ni panya road, ni kadhia ya askofu Mwingira na haki, ni Ndugai na haki, ni Law School na wanafunzi, ni sakata la CAG, ni Mpina anavyo komaa bungeni, ni adha za TRA na wafanyabiashara, ni adha za LATRA na wenye vyombo vya usafiri nk?
Au vyetu navyo ni vinara wa magumzo zungumzo kama ya Simba na Yanga tu?
Vinavyoelea, vimeundwa.
Atalaumiwa sana dobi, kaniki ni rangi yake!