Ni wajibu wa vyama vinavyojitanabaisha kuwa vya ukombozi kuwahamasisha na kuwaongoza watu kudai haki zao.
Mtaji wa vyama hivyo ni watu. Ni jukumu kipaumbele la vyama vinavyojitambua kuwa mkao wa kula kujua au kutafuta wapi pana malalamiko na kuyafanyia kazi vilivyo.
Kudai katiba mpya ni ukombozi katika kudai haki.
Nani ataunga mkono shughuli za vyama hivi kama vyenyewe havijihusishi kwenye shughuli za wengine?
Your browser is not able to display this video.
Hapa baba anatoa somo.
Tujiulize vyama vyetu hujihusisha na jambo gani linaloihusu jamii?
"Ni panya road, ni kadhia ya askofu Mwingira na haki, ni Ndugai na haki, ni Law School na wanafunzi, ni sakata la CAG, ni Mpina anavyo komaa bungeni, ni adha za TRA na wafanyabiashara, ni adha za LATRA na wenye vyombo vya usafiri nk?
Au vyetu navyo ni vinara wa magumzo zungumzo kama ya Simba na Yanga tu?
Naamini sasa tunakubaliana kuna ombwe la uongozi kwenye vyama vya siasa, tena hasa Chadema tulichokizoea kuwa mstari wa mbele kwenye kuwaamsha wananchi kudai haki zao, hivyo vingine sioni sababu ya kuvitaja hapa kwa maana vilishaonesha rangi zao.
Ajabu kwangu ni Chadema ambacho sasa naanza kukiona taratibu kikielekea kule walipo kina ACT Wazalendo, TLP, na wengine wa sampuli hiyo, nadhani matokeo ya hili ni yale maridhiano yanayoendelea baina ya viongozi wa CCM na Chadema.
Inavyoonekana Mbowe ameshatulizwa kwenye yale maridhiano na Samia, kinachotokea nae sasa ameshawatuliza viongozi wenzie ndani ya chama, mfano Lema, licha ya kuwa na kelele siku zilizopita kutaka kufahamu nini kinazungumzwa baina ya Mbowe na Samia kwenye maridhiano, naona siku hizi yupo kimya, atakuwa keshatulizwa.
Lissu nae yupo yupo tu, tangu amerudi toka Ubelgiji alipokwenda kwa mambo yake yupo kimya, anasubiri mpaka aitwe kwenye interview kwenye TV na Radio Stations ndio akazungumze, baada ya hapo kimya..
Naona Mbowe anatakiwa kujiuzulu uenyekiti wake Chadema mwaka huu kama alivyosema, inavyoonekana kuendelea kwake kuwa mwenyekiti kumeanza kukipoza kile chama kwa kubadilisha mbinu zake, ni kama vile anamsindikiza Samia kuelekea 2025, naona sasa ni muda wake wa kuondoka kama alivyosema mwenyewe.

Wapi nilipomtaja Mbowe ndugu? Katiba mpya haitakuja yenyewe bila kuwapo viongozi wa kuhamasisha na kuongoza harakati hizo.
Wenye nia ya dhati ya kufanikisha uhitaji wa agenda na malengo yetu (yaani kuhamasisha na kuongoza madai ya katiba mpya) hao wanafuzu kuwa viongozi wetu.
Kama hayo huyawezi ni halali kukufurusha kama hung'atuki mwenyewe.