Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Uchaguzi 2020 Vyama vya Siasa 12 vyamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif wakidai ametoa kauli za uchochoezi

Zanzibar haitotawalika Vijana anzeni kufanya mazoezi kwa kauli ya lipumba..2005 hio nimekumbuka
 
Hivi vyama vingine vimezaliwa lini???? Sau mwenyekiti wake ni nani?
 
Hao wote katika uchaguzi mkuu wa marudio baada ya Rais mtarajiwa Jecha Salim Jecha kufuta matokeo walipata 5% hivyo hawakueza kushirikishwa katika Serikali ya Umoja wa kitaifa, kiufupi hao ni nyuki wa mashinani hawang'ati. Maalim Seif anachukuwa nchi October 25 ...enough is enough.
 
Tamko hili limesomwa kwenu na mimi Katibu Mkuu wachama cha Demokrasia MAKINI , Ameir Hassan Ameir, kwa niaba ya Viongozi wa vyama vya siasa.

1. DEMOKRASIA MAKINI
2. DP
3. SAU
4. TLP
5. UPDP
6. CCK
7. NLD
8. NCCR
9. ADA TADEA
10. AFP
11. ADC
12. UDP

Mbona ni 13 ??
Umeisahau CCM ?
hawa ndio jibu kwa UKAWA 2020 ?
 
Hivi vyama vipo kweli tofauti na NCCR angalau ina mbunge mmoja ,nikuombe mh msajili wa vyama vya siasa futa vyote hivi vinakujazia nafasi bure kwenye daftari lako

Mkuu ,hawezi kuvifuta sababu vingine vipo kwa Mipango Maalum.
 
Back
Top Bottom